Bahati Bukuku: Baada ya kutoka kimuziki wachumba walikuwa wengi akiwemo mfadhili (sponsor) wangu, nilionywa kuhusu wanaume wa Dar

Aisee we jamaa itakua unashinda pale Ubungo kuandika majina ya wanaoingia mjini.
Namjua na gari yake ya kwanza kitchen party nlimuzia mimi
Inshort nlimshikisha...alikuwa na munkari ya kumiliki gari
Alifikiaga kwa ndugu zake bukuku family wako hapo mwananyamala garage...
We mzee usinchkulie poa watu mjini kitambo bwana tuna legacy zetu kitaani

Ova
 
Mwandishi alitakiwa aanze na historia Bahati alizaliwa lini na wapi,shule alisoma wapi na sasa yuko wapi anafanya nini.Historia huamusha hisia za vizazi na vizazi. Maana Bahati anafollowers wengi, kuwainspire ni kuandika full History yake.
 
Halafu we jamaa nakufananisha na mdogo wake Walter pale uwanja wa Bui bui.
 
Huyu ni kama martha baraka baada ya kupata umaarufu akaona mume wa kazini gani
 
Mwandishi alitakiwa aanze na historia Bahati alizaliwa lini na wapi,shule alisoma wapi na sasa yuko wapi anafanya nini.Historia huamusha hisia za vizazi na vizazi. Maana Bahati anafollowers wengi, kuwainspire ni kuandika full History yake.
Ipo youtube
 
Mi nilijua alirisiti akiwa Meta,kumbe alianza kurisiti akiwa Dar,aisee kichwa chake inaonekana shuleni kiligoma,akagundua kipaji chake,akaachana na shule,saa hizi mambo yake yako njema.Tugunduage vipaji vyetu,tusipoteze muda kusoma.
Shule sio muhimu Hata [emoji23]
 
Watanzania wangu waungwana sana, kwa nini mnasema kusoma ni kupoteza muda? Hii imetokana na wengi kuwa mnasomea ajira? Mimi nadhani ungesema angekuwa amesoma huku anaimba basi anagefika mbali zaidi! Jamani kusoma ni zaidi ya ajira. Kwani asinheweza kuwa anasoma huku anaimba? Unajua hata machinga au muuza chipsi anaweza kusoma huku anajishughulisha na kazi yake?
 
Shule sio muhimu Hata [emoji23]
Bila shaka umemkejeli! Wabongo wengi wanadhani watu wanasoma ili waajiriwe. Ndiyo maana unakuta watu wanamaliza mpaka chuo kikuu lakini kichwani hamna kitu kwa sababu walikuwa wanavuta muda ili mradi wapate vyeti waajiriwe! Mimi nadhani tungehimiza hata ma-house girls, waendesha boda, ma-barmaids nk watafute muda wasome part time ili kupanua akili zao zaidi!
 
Mi nilijua alirisiti akiwa Meta,kumbe alianza kurisiti akiwa Dar,aisee kichwa chake inaonekana shuleni kiligoma,akagundua kipaji chake,akaachana na shule,saa hizi mambo yake yako njema.Tugunduage vipaji vyetu,tusipoteze muda kusoma.
Meta humetameta kwa juhudi na maarifa
 
Huyu muimbaji anaeimba mapito yake still yupo kwenye ndoa au
 
Back
Top Bottom