Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Aliyebuni Kuwa Ukipaka Mate Ndo Inaingia Vizuri Ana Akili Sana.

Bila Hivyo Mpak Saivi Apa Bado Ningekuwa Naingiza Uzi Kwenye Sindano!

Acha Kuwaza Ujinga!
 
Personally nawafahamu bahat na munewe Huyu dada alipata shida maskini na yule Dany..dany alikua hajatulia jaman alafu naaminj 100% Dany alikua mgonjwa...!wanae wawili alijjfungua wanafariki ... Sijui Dan alihamiaga wap
Aise mm pia namjua
Mpk anakuja nunua Gari Ile kitchen party
Nlikuwa nakutana naye sana mwananyamala alikuwa akikaa kwa familia ya bukuku fulani pale!

Ova
 
Kila mwanamke akianza kuwataja watu waliowatongoza hakutakalika.
Mwanamke anatongozwa na watu wengi sana kwa siku
Tena akikutajia na huyu utashangaa sana hivyo ni kumezea tu shetani apite
 
Back
Top Bottom