Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Aliyebuni Kuwa Ukipaka Mate Ndo Inaingia Vizuri Ana Akili Sana.
Bila Hivyo Mpak Saivi Apa Bado Ningekuwa Naingiza Uzi Kwenye Sindano!
Acha Kuwaza Ujinga!
Bila Hivyo Mpak Saivi Apa Bado Ningekuwa Naingiza Uzi Kwenye Sindano!
Acha Kuwaza Ujinga!