Bahati (luck) ni nini ?

Bahati (luck) ni nini ?

Pasco
Kupinga kwamba hakuna kitu kinachoitwa bahati rather kuna power within us ni kututoa kwenye mistari

Luck has been there since ancient time and wise men and thinkers wamejaribu kutaka jua nini hasa kinampelekea mtu kuwa mwenye bahati

Let me quote a proverb
" if a man be lucky, there is no foretelling the possible extent of his good fortune. Pitch him into the Euphrates and as not he will swim out with a pearl in his hand"

Hata hapa kwetu neno bahati has been widely used
Kuna michezo ya bahati nasibu nk

Unakuta watu 1000 wana shindanishwa and randomly mtu mmoja ana shinda

How can u say that is a power of will or power within us?
Mkuu Kidole, the fact kuwa bahati imekuwa ikisemwa toka ancient time, hakuifanyi bahati ndio iwepo, kwa sababu toka hiyo ancient haikuwahi kuwepo, ila inadhaniwa tuu, lakini hakuna kitu kama hicho!.

The same applied kwenye maneno kama "nakupenda kwa dhati, from the bottom of my heart", nakuwaza kimono moyo, au nasema kimono moyo, au nasal kimoyo moyo, pendo la moyoni, nimekuwa moyoni, moyo wangu umekudongokea, nasema ukweli toka moyoni etc, kazi ya moyo ni moja tuu, to pump the blood for circulation!, nothing moyo, nothing less!, hayo yote yanayosemwa kuhusu moyo ni uongo mtupu na hakuna kitu kama hicho!.

Kitu kinachoitwa lucky its actually ni "works of powers", mnapokata bahati nasibu, with powers kwa kujijua au kutojijua, powers za yule mshindi, ndie ame will, ile number ya ushindi idondokee kwake, na kushinda!.

Kwenye michezo ya kolo kolo, kwa kutumia powers of mind, unaweza kuifanya dice idondokee number unayoitaka wewe!. Mchezeshaji akikushtukia tuu mara 3 mfufululizo, atasimamisha mchezo na kukuomba uondoke, vinginevyo utamfilisi!.

Hakuna good lucky wall bad lucky, kuna goodwill na bad will ambayo inaitwa goodlucky na badluck!.

Pasco
 
Posco nisaidie hapa. Nimedondosha tshs 10000/=, wakapita watu ishirini hawakuiona na kuiokota. Akapita wa 22 akaiona na kuiokota. Swali: hawa 20 wana nini wasiiokote? Huyo wa 22 ana nini mpaka akaiokota?

Bahati ipo ila kwa % kubwa unaicreat mwenyewe. Iwe mbaya au nzuri.

Maswali yatakuja
Hapo ni kitu kinachoitwa "enlightenment" wale wengine wote hawakuwa enlighten kuiona hiyo hela!.

The same applies to opportunities, the most enlightened wanaziona furs, wanazichangamkia, wanafanikiwa kwa kutumia "will powers" with positivity na wanatoka hivyo winging kuwadhania wan a bahati!, Bahresa, Mengi na matajiri winging kibao, started from nothing!, but with "idea"!. Umasikini mbaya kabisa ni umasikini wa fikra!. Mdomo huumba!, ukijikubali wewe ni masikini, unakuwa umejiumbia huo umasikini, na ni kweli masikini utakutembelea!, ukitumia affirmations kuwa wewe ni tajiri, and you have the "idea!", unakuwa tajiri kweli!. Mfano mzuri ni mimi Pasco wa jf, japo ni "masikini wa mali, lakini ni tajiri wa roho!", tangu mwaka 2002 nilipofukuzwa kazi TBC!, amini usiamini, sijawahi kuomba tena kazi kwenye media yoyote!, na ukinisikia nimeripoti news yoyote humu jf, ujue nimejitolea!, na ukiiona hiyo news niliyoripoti humu jf, jioni yake ikatokea kwenye TV na kesho yake kwenye magazeti, ujue hao waandishi wote "nimewawezesha" mimi!.

Kama ulivyoeleza mwisho, it is you own creation!.

Pasco
 
Mkuu Kidole, the fact kuwa bahati imekuwa ikisemwa toka ancient time, hakuifanyi bahati ndio iwepo, kwa sababu toka hiyo ancient haikuwahi kuwepo, ila inadhaniwa tuu, lakini hakuna kitu kama hicho!.

The same applied kwenye maneno kama "nakupenda kwa dhati, from the bottom of my heart", nakuwaza kimono moyo, au nasema kimono moyo, au nasal kimoyo moyo, pendo la moyoni, nimekuwa moyoni, moyo wangu umekudongokea, nasema ukweli toka moyoni etc, kazi ya moyo ni moja tuu, to pump the blood for circulation!, nothing moyo, nothing less!, hayo yote yanayosemwa kuhusu moyo ni uongo mtupu na hakuna kitu kama hicho!.

Kitu kinachoitwa lucky its actually ni "works of powers", mnapokata bahati nasibu, with powers kwa kujijua au kutojijua, powers za yule mshindi, ndie ame will, ile number ya ushindi idondokee kwake, na kushinda!.

Kwenye michezo ya kolo kolo, kwa kutumia powers of mind, unaweza kuifanya dice idondokee number unayoitaka wewe!. Mchezeshaji akikushtukia tuu mara 3 mfufululizo, atasimamisha mchezo na kukuomba uondoke, vinginevyo utamfilisi!.

Hakuna good lucky wall bad lucky, kuna goodwill na bad will ambayo inaitwa goodlucky na badluck!.

Pasco

Pasco
The need to have a good luck is universal
Ndo mana utasikia mtu akitaka kwenda kufanya interview ana wiahiwa good luck

Akitaka kwenda safiri anawashia good luck

Akitaka anzisha biashara anawishiwa good luck

And etc

Unapoongelea will power its a desire to acquire something

For dice game or kolokolo playas wote they desire to win

Ndio bahati inapoingia hapo na kumzawadia mmoja ushindi

Hakuna powers of mind hapo its purely luck
ask some one who gembles Mara ngap ame win na Mara ngap ameloose

Definitely utakuja na jibu kuwa ame loose Mara nyingi kuliko alizo wahi win

Sasa if he has used his mind once kwann hyo asitumie hyo power Ku win daily ??

Its clear u can't deny the works of luck
 
Yaap. Tumekuelewa. Lkn siku zote nimekuwa nikielewa bahati ni imani inayopaliliwa na matendo mema na kujituma. Ni kweli kwamba baadhi ya watu wamezaliwa na bahati lkn wameshindwa kuzipalilia. kwa nini nasema bahati ni imani? Kitu ambacho mungu ametujalia kikubwa ni imani, ukiwa na imani unaweza kufanya mambo makubwa. Mfano kwa imani tu unaweza ukambariki mtoto aliye tumboni mwa mama kwa kuamini na kusema mtoto huyu atakua na akili sana ,au atakua jambazi. Maandiko matakatifu yanasema mungu alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake, pamoja na kwamba hatuko exactly kama mungu lkn tuna tuelements tuchache twa nguvu za kimungu. Mungu aliumba kwa maneno,even us we have such elements. Ukiamini mwakani mwezi wa saba utanunua gari na akafanya jitihada utafanikiwa na watu watasema unabahati kumbe maskini imani yako itakuwa imekuponya.
Mkuu long live, asante kwa hii, hili nimelizungumzia sana kwenye hizi mada zangu zifuatazo.

[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo ila hawajijui!.[/h]
[h=3]"Will Powers!", "Faith Healing!" [/h]
Pasco.
 
Pasco
The need to have a good luck is universal
Ndo mana utasikia mtu akitaka kwenda kufanya interview ana wiahiwa good luck

Akitaka kwenda safiri anawashia good luck

Akitaka anzisha biashara anawishiwa good luck

And etc

Unapoongelea will power its a desire to acquire something

For dice game or kolokolo playas wote they desire to win

Ndio bahati inapoingia hapo na kumzawadia mmoja ushindi

Hakuna powers of mind hapo its purely luck
ask some one who gembles Mara ngap ame win na Mara ngap ameloose

Definitely utakuja na jibu kuwa ame loose Mara nyingi kuliko alizo wahi win

Sasa if he has used his mind once kwann hyo asitumie hyo power Ku win daily ??

Its clear u can't deny the works of luck
Kidole, call it what you may, ninachokueleza hapa its is works of powers!, hicho kinachoitwa good luck ni powers of positivity from ndani yako ndizo zinazofanya mambo, na wall sio huyo aliyekuwish!.

Pasco.
 
The most powerful thing you have is your "willpower!" just will what you want, with strong determination, you'll get it!.

Pasco.

pasco ivi kuna neno la kiswahili la willpower?
 
Kidole, call it what you may, ninachokueleza hapa its is works of powers!, hicho kinachoitwa good luck ni powers of positivity from ndani yako ndizo zinazofanya mambo, na wall sio huyo aliyekuwish!.

Pasco.

Pasco hujanielewa au hutaki nielewa kwa makusudi

sijasema anaye ni wish ndio ata influence au kuniletea bahati
bali inaashiria uwepo wa bahati

toking About willpower most motivators and inspirational speakers wamejaribu shawishi watu
for years kwamba if u want something so bad u'll get it eventually kitu ambacho sio kweli

Pasco no matter the power of will aliyo nayo MTU
hawezi desire kutembea na kuokota dhahabu barabarini

but with luck unaweza amka ukakuta bag of gold outside your door step
 
Kama nilivyosema tangu mwanzo, hakuna cha good luck wall bad luck, chochote kinachotokea ni pre meditated move kilikuwa ndio kitokee hivyo kinavyotokea.

Will powers has no limits, hata kwenye the game of chance, powers of mind ndio the controller!, hiyo bag of gold uliokuta mlangoni kwako, haikushuka tok a mbinguni kama mana!, imekuwa extracted then moulded, ikabebwa na mtu, akaletwa hapo mlangoni kwako na kuachwa hapo kwatika pre meditated moves ili wewe uikote, haijalishi kuwa huku wish imetokea tuu kama game of chance, ilikuwa itokee!, hakuna hata game of chance, wala kitu kinachoitwa bahati mbaya!, everthing ni pre meditated!.

Pasco
 
possibility inapokuwa ndogo kinachofata hapo ni bahati tu
kwamfano ni kama bahati tu unapochelewa airpot unakuta nayo flight imechelewa hivyo unaingia. Au ni kama bahati tu kuokota dola 100 asubuhi ..
Katika rundom selection ambapo wengi mnakuwa na equal chance bahati inaweza ikakuangukia
Mkuu Tiasa, hakuna kitu kama hicho, hiyo yote ni "works of powers" bila wewe kujijua!,

Ulipochelewa, ukaituma will powers yako, kufanya jambo, ili ndege ichelewe, uikute!.

Mimi nimeishajitambua, mara kibao nataka kusafiri na ndege, naambiwa hakuna chance it is full booked, naomba kuuziwa an open ticket, no booking!, no confirmation!, kesho yake nitawahi airport na kuomba waiting list just in case kuna "no show", kuna mtu hatakuja na nitachukuliwa!.

Kuna siku nilifanya kituko cha mwaka!.

Nilikuwa na event ya watu Shinyanga, mimi ni MC, mgeni rasmi ni rais wa JMT!, wakaniomba niende two days before ili acclimatise na mazingira, nikawaambia nitawahi tuu, enzi hizo PAA ndio ndege pekee inayofly to Shinyanga, walipoanza partneship na KQ wakaanza mambo ya kizungu, check in counter inafungwa 60 min before take off kama international flight!, mimi nimefika airport 40 min to time, wakanigomea kunipa boarding pass!, nilibembeleza wapi, wamefunga, wamefunga!.

Amini amini usiamini, haijalishi nilipitaje pitaje, ila mimi huyo mpaka ndani ya ndege bila boarding pass!.

Kabla ndege haitake off, yule air hostess anatangaza kuna mtu amezidi, hivyo akauliza nani hana boarding pass!, mimi kimya!, ndege inachelewa, abiria wote tukaombwa kuonyesha boarding pass, kufika kwangu nikajifanya naji search, nikadai itakuwa imeanguka!, nikaonyesha tiketi yangu in a OK, captain akagoma kurusha ndege, ageuzie kurudi nishushwe, nikamueleza my situation na issue ninayokwenda kuifanya ni ni ya rais!, tena ni return ticket ya same day!.

Captain aka authorise kuliko kugeuza na kushushwa, waissue boarding pass na kuifax Shinyanga, tukaruka!. Kufika kule napokelewa na RPC pale airport eti mimi ni gaidi nimeweza vipo kupenya DIA security hadi ndani ya ndege!, kumbe kule nyuma nimewaachia kimbembe!, hivyo ikatolewa order niwe arested upon arrival. Nikamjulisha RPC ukweli ulivyo, na sababu, ni tukio la rais. Ikakubaliwa ile ticket yangu iwe held niende kwenye event chini ya ulinzi, nikimaliza nirudishwe Dar kusubiri mashitaka!.

Nilivyoendesha tukio kama MC, na baadae nikachomekea joke ya kilichotokea, kiukweli RPC yule alikubali, na ndipo nikashauriwa salama yangu nibaki kwanza Shinyanga moto kule Dar upoe!. Nikaachiwa kwa mategemeo kesho yake ningeitumia ile retun tiket yangu ni kujikabidhisha!.

Jioni ile nilkodi gari toka Shinyanga hadi Mwanza, nikanunua tiketi mpya ya one way, ya ATC, Mwanza-Dar, ile ndege ya Saa 2:00 usiku!. nilifika Dar as if nothing has happened ila wakati nikipita arrival you can note jinsi watu wa Airport wanavyonishangalia na hakuna alikumbuka kuniripoti nishikwe kwa sababu order yao nangojwa kesho yake asubuhi!, nilipita just like that!. Kesho yake asubuhi ndio napokea simu ya RPC wa Shinyanga, akinilalamikia kumharibia kazi!.

All and all, tuliyamaliza, ila hadj hii leo sikumbuki nilipita vipi airport security bila boarding pass hadj ndani ya ndege!, jibu ni moja tuu, need yangu ya safari ili wa hypnotise security people hivyo kuwa paralise kila nikifika, check point, mission was accomplished the mess was then cleared!. Sio bahati, ni works of powers tuu!.

Pasco.
 
The most powerful thing you have is your "willpower!" just will what you want, with strong determination, you'll get it!.

Pasco.

pasco kuna kitu ulikiongea juzi

swala la love compatibility
nahitaji mchanganuo kidogo katika hilo
 
Mbona sijakuelewa naona kama unakubali na kukataa kitu hichohicho.
Mkuu Uhuru, kwanza pole kwa kutonielewa!, twende taratibu mdogo mdogo tuu hatimaye utanielewa!. Ila ni mpaka ukiendelea kinisoma soma humu, na wewe utakuja kufikia level fulani ya uelewa, then utaanza kunielewa!.

Pasco.
 
pasco kuna kitu ulikiongea juzi

swala la love compatibility
nahitaji mchanganuo kidogo katika hilo

Love compatibility kwa lugha rahisi ni "mwendano", yaani una m date mtu mnayeendana, hivyo mtafanikiwa sana!. Huu mwendano kwa kawaida unakuja naturally tuu kwa mtu uliyepangiwa au mnae endana. Kipimo rahisi ni kuisikiliza sauti ndogo toka ndani ya moyo wako kwa kila mtu atakayekutokea, akiwa siye, utasikia tuu, utajikuta kila mkipanga kumaliziana linatokea jambo kuzuia.

Kipimo rahisi ni kuangalia mood yako baada ya kukaa naye kwenye ordinary date, utajisikia un easy fulani, ila nyie dada zetu wengi mnadanganyika na "fungu", kama jamaa "ana kisu kikali" then ile methali ya "mwenye kisu kikali ndie atakula nyama". Kwenye mambo ya compatibility wasiojali ndio wale unakuta tangu uhusuasiano ni majanga na wakiona ni majanga hadi sometimes kupelekea mmoja wao kuchomoka!.

Unaweza kufanya compatibility test for fun, mfano kama unaishi na wazazi, after date hata kama hukuchelewa kivile, home mota utakuwakia!, na kila mkikutana linafuatia janga fulani, ukiona hivyo hata kama ni bilionea, you just let it go!.

Kwa wenzetu wametengeneza compatibility charts kwenye nyota yako, yaani Zodiac sign yako.

Zodiac signs ni nyota kumi na mbili za miezi watu walio zaliwa ambaza zimegawanywa kwenye makundi maane ya fire sign, water signs, earth signs na wind signs. Mfano wewe umezaliwa February nyota yako ni samaki pieces, hii water sign na mko kundi moja na scorpio na cancer, mtakuwa compatible na earth signs ikitokea woter na fire mta clash!.

image.tiff

Pasco
 
Attachments

  • Compatibility Chart.jpg
    Compatibility Chart.jpg
    70 KB · Views: 84

application.pdf

Pasco

nimekuelewa vyema nahisi my bro na wifi yangu wameendana kwani kwa muda mfupi sana kafika mbali na walivyokutana kaka angu alikua amepanga chumba kimoja lakini as i speak aiseee yupo mbali saana yaani mpaka mahali anapokaa wanamshawish agombee hata ubunge

5years ago alikua anapanda daladala now mpaka kwake kakosa packin magari mengine katuachia

hii kitu kuna siku niliiileta hapa nikaelezea mpaka kwenye nyota binafsi nina uwezo wa kumtambua mtu mahusiano yakiwa awali kabisa na huwa nacheki minor things kuanzia colour hadi chakula avipendavyo kama tunakinzana kwa mengi Kengele hulia kichwani
 
Na hapa ndipo nyinyi dada zetu wengi you go wrong, ukisikiliza moyo wako, you'll never go wrong, ni kusudi la Mungu binadamu afanikiwe huku shetani akifanya bidii kumdidimiza, akiwa ndie ukimkaribia tuu, moyo utakuambia!. Tatizo la wadada wengi ni ama tamaa ya vitu, hivyo kufuata mlio wa pesa na kuishia kulia, au anticipation ya ndoa, hivyo kugawa, kumegwa na kuishia kuachwa!.

Kikukweli kabisa hata sisi wanaume, ukikutana na miss right, utajisikia raha tuu kuwa nae sii lazima ku do!. jJust being together tells you kama picha zinaenda.

Mimi ni wale Waafirika Halisi chapa ng'ombe, kufurahi ruksa!, kipimo changu cha majanga katika zile furaha hizi na zile kufanya majaribio ya kufurahi only 3 tries, zikipita bila bila!, ndio basi tena!, hata awe mzuri kama malaika!. Ukikuta mnaendana sometimes you don't even have to beg or ask, mambo yenyewe yanajiset tuu!. Kama ni majanga, utanote vikwazo kila mkipanga, mara mkute rooms zimejaa!, siku room zipo mmeingia mnatafuta zana, huwezi amini kila duka zimeisha!, sasa mnapania kweli kweli, unanunua kabisa zile super, mwenyewe yuko fit kabisa, tena mahali pa maana, mtakula dinner nzuri, na kuelekea... mara ghafla mwenzako anakujulisha "zimeanza ghafla!", three attempts ndio kipimo changu cha majanga, hapo usikuta wala sijahesabu puncture, au deals za fedha zilizo yeyuka!. Kiukweli binadamu huwa tunaonywa sana kabla ya majanga ila huwa tunalazimisha!. Hata ikitokea safari, moyo ukisita huwa siendi!, ndipo baadaye nasikia taarifa za kilichotokea!.

Nakuonea raha Masai Dada, nita ku pm kwa mengineyo!.
JF ni zaidi ya keyboard, sometimes hata kusaidiana kupo!, unaonekana una ... sana!.

Pasco bana
ki ukweli watu wanapuuza sana hilo jambo la love compatibility mpaka anamuoa mtu ambae kila kitu walikinzana mpaka wedding colour
HILI JAMBO NI HATARI SANA KULIKO KAWAIDA
unaoa tu ili upate watoto kisa umri umeenda au wazazi wamekwambia

au unaolewa tu kisa umri unaenda na unaona ukifanya hivyo ni kutoa nuksi
baada ya hapo ndoa unaiona shubiri wakati kila sign zote uliona kwamba hapa siko

nimepata kitu 3 tries kupima majanga NITALITUMIA HILI
 
Mkuu Uhuru, kwanza pole kwa kutonielewa!, twende taratibu mdogo mdogo tuu hatimaye utanielewa!. Ila ni mpaka ukiendelea kinisoma soma humu, na wewe utakuja kufikia level fulani ya uelewa, then utaanza kunielewa!.

Pasco.

Mkuu hata nikirudia kusoma mara mia hakuna kitakachobadilika,labda niamini uliyoyasema lakini si kuelewa.
 
Mkuu hata nikirudia kusoma mara mia hakuna kitakachobadilika,labda niamini uliyoyasema lakini si kuelewa.
Mkuu Uhuru, pole tena, ila uelewa una levels fulani za uwezo wa mtu kuelewa ndio maana kuna chekechea, darasa la kwanza hadi la 7. Mwanzo nilijibu as if jf ni home to the great thinkers, ambao kazi ya mwalimu ni kuwakatia tuu pande, wanapika wenyewe, wanapakua wenyewe, wanakula wenyewe, wanatafuna wenyewe, mwisho wana meza wenyewe!.

Ila humu pia tuna baadhi yetu, wao wanataka waletewe chakula, wapikiwe, wapakuliwe, watafuniwe, ndipo walishwe, wao kazi yao ibaki ni kumeza tuu!. That being the case, nafungua sasa tuition ya darasa la 1-3 kuhusu bahati!.

  1. Japo watu hudhania kuna kitu kinaitwa bahati nzuri au mbaya, in reality hakuna kitu hicho, bali hilo ni jina tuu, kitu chenyewe ni "powers from within" zinaitwa "will powers" ambazo kila binabamu amepewa, zina uwezo wa Kimungu, kufanya kila kitu!. Zikifanya mambo mazuri ndio inaitwa bahati nzuri, zikifanya majanga zinaitwa bahati mbaya, hivyo hicho kinachoitwa bahati ni neno tuu lililozoeleka ila kitu chenyewe halisi ni powers!.
  2. Kama ilivyozoeleka mambo ya moyoni, watu wanasema pendo la moyo, ukipenda moyo umependa, ukiona vivu moyo umeumia etc, in reality kazi ya moyo ni moja tuu ku pump damu!, hakuna cha kupenda wala kuumia moyo, kupenda na maumizi ni kwenye ubongo na yanasababishwa na vichocheo vinavyotengenezwa kwenye endocrine glands na sio kwenye moyo!.
Natumaini by now utaanza kunielewa kabla sijaendelea, ila ikitokea mpaka hapa bado hujanielewa, itanibidi sasa nikuitie waalimu wa cheke chea!.

Pasco
 
Back
Top Bottom