Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Kidole, the fact kuwa bahati imekuwa ikisemwa toka ancient time, hakuifanyi bahati ndio iwepo, kwa sababu toka hiyo ancient haikuwahi kuwepo, ila inadhaniwa tuu, lakini hakuna kitu kama hicho!.Pasco
Kupinga kwamba hakuna kitu kinachoitwa bahati rather kuna power within us ni kututoa kwenye mistari
Luck has been there since ancient time and wise men and thinkers wamejaribu kutaka jua nini hasa kinampelekea mtu kuwa mwenye bahati
Let me quote a proverb
" if a man be lucky, there is no foretelling the possible extent of his good fortune. Pitch him into the Euphrates and as not he will swim out with a pearl in his hand"
Hata hapa kwetu neno bahati has been widely used
Kuna michezo ya bahati nasibu nk
Unakuta watu 1000 wana shindanishwa and randomly mtu mmoja ana shinda
How can u say that is a power of will or power within us?
The same applied kwenye maneno kama "nakupenda kwa dhati, from the bottom of my heart", nakuwaza kimono moyo, au nasema kimono moyo, au nasal kimoyo moyo, pendo la moyoni, nimekuwa moyoni, moyo wangu umekudongokea, nasema ukweli toka moyoni etc, kazi ya moyo ni moja tuu, to pump the blood for circulation!, nothing moyo, nothing less!, hayo yote yanayosemwa kuhusu moyo ni uongo mtupu na hakuna kitu kama hicho!.
Kitu kinachoitwa lucky its actually ni "works of powers", mnapokata bahati nasibu, with powers kwa kujijua au kutojijua, powers za yule mshindi, ndie ame will, ile number ya ushindi idondokee kwake, na kushinda!.
Kwenye michezo ya kolo kolo, kwa kutumia powers of mind, unaweza kuifanya dice idondokee number unayoitaka wewe!. Mchezeshaji akikushtukia tuu mara 3 mfufululizo, atasimamisha mchezo na kukuomba uondoke, vinginevyo utamfilisi!.
Hakuna good lucky wall bad lucky, kuna goodwill na bad will ambayo inaitwa goodlucky na badluck!.
Pasco