Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu wahenga walishasema elimu haina mwisho. Nilikuwa katika jitihada binafsi za kujiongezea ujuzi hapa lakini sijajua kimetokea nini.
Nimeshangaa mfululizo wa simu kutoka wa wadau wa kazini wakinishtua nimetuma picha zisizofaa kule.
Sasa kuja kucheki naona ni kweli zimeenda kwa bahati mbaya.
Msaada wakuu kwa aliyewahi kutokewa na hii kitu nawezaje kuuwa hii soo maana kuna watu tunaheshimiana sana.