Bahati mbaya picha za pono zimeenda kwenye WhatsApp group la ofisi, nafanyaje?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu wahenga walishasema elimu haina mwisho. Nilikuwa katika jitihada binafsi za kujiongezea ujuzi hapa lakini sijajua kimetokea nini.

Nimeshangaa mfululizo wa simu kutoka wa wadau wa kazini wakinishtua nimetuma picha zisizofaa kule.

Sasa kuja kucheki naona ni kweli zimeenda kwa bahati mbaya.

Msaada wakuu kwa aliyewahi kutokewa na hii kitu nawezaje kuuwa hii soo maana kuna watu tunaheshimiana sana.
 
Nenda kwenye option ya click for all uzifute hizo picha, ila kuna muda maalum ukipita huwezi futa. Kama hutoweza kufuta mwenyewe wasiliana na admini yoyote azifute. Baada ya hapo omba msamaha waambie haikuwa dhamira yako kutuma hizo picha.
Kama unaweza kujieleza kwa kuongopa waambie account yako ya WhatsApp ilikuwa hacked na wakaweza kutuma hizo picha chafu. Ila hapo utatakiwa kujiandaa kwa kujibu maswali.
 
Waambie hao ni hackers from fb sasa hv wamehamia hadi whatsapp kwa kua app zote ni za META.
Tena ongezea kua itakua mbaya zaidi kwasababu tiktok imekua banned marekani so usalama wa whatsapp uko hatarini.
Kwa kukazia unasema wanapata access thru installation ya application mpya pale inapouliza kuallow acces to gallery phonebook n.k.
Best way, andika waraka kama wale ma influenza sijui motivesheno spikaz kuhusu hili, then mtumie huo waraka mtu mwingine, and then akutumie tena halaf unauforwad kwenye group so it seems as a forwaded to many message.
Hii process hata mi siielewi, subiri kidogo nimalize hii chibuku ntajaribu tena.
"IMPROVISE, ADAPT, OVERCOME"
 

Delete for everyone

Umeshindwa au porojo unataka tuweke?
 
Usihangaike kujitetea sana...

We all watch porns
 
Kwenye hizo picha ni wewe umeonekanq unafanya au ni wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…