Bahati ya mtende ilipotuangukia

Bahati ya mtende ilipotuangukia

Badala ya kupeleka shule za bweni za serikali ambako nyama Ni kitu adimu na angepewa shukrani za dhati, anawapelekea wanywa Heineken. Bure kabisa huyo Dada.
Raia tunalipa kodi viongozi waandamizi wa serikali wanafanya embezzlement ya public funds. Ilitakiwa hao watoto wale kuku kila siku kwa kodi na rasilimali tulizonazo, wala usingelalamikia zali la mentali walilopata wanywaji. 😁
 
hakika mimi kwake nimekita, kama huamini muulize mr. misifa

usitumie pesa kama fimbo, ndege niliyenasa kwenye wake ulimbo mah
 
Sadaka ya mashetani hiyo.mliokula wote motoni .mmejiunga na ibada za kuzimu hapo hakuna cha kugombana na supplier wala nini,ni ibada za kishwetani,kwa nini asipeleke kwenye vituo vya watoto yatima
 
Ilikua Jumamosi, tulikuwa kwenye container moja mitaa ya nyumbani tuna burudika. Mziki na vinywaji, story na vicheko. Na joto la Dar upate kinywaji cha baridi iwe Fanta, Heineken, Ndovu au Coca-Cola.

Mara ilipita pick up nyeupe, ilipack pembeni. Alitoka dada mmoja alituambia kama tuna sahani twende atugaie vyakula. Hatukua na sahani lakini Wamachinga wanaouza vyombo walipata soko. Kila mtu alinunua sahani. Tulikwenda kule, yule sada alikua caterer na alipika chakula cha sherehe. Hatujui walikosana nini na mteja wake lakini aliamua kugawa chakula na kuondoka. Alikua na hasira sana hakutaka kuongea mengi.

Tulipata pilau, machalari, nyama ya ng’ombe na ya kuku. Baada ya kula wengine hata sahani walimuachia mwenye container.

Hivi ndibyo bahati ya mtende ilivyotushukia Jumamosi hiyo.

View attachment 1834953
Sky Eclat kwa kupenda vya bure...Mungu anakuona!
 
Huyo mdada mbona hua anagawa chakula kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi,
Usikose tena mwezi ujao.
😎
 
Au pengine biashara yake halisi ni ni kuuza sahani..hiko chakula wala sio biashara yake halisi
Kwamba faida anayopata kwenye hizo sahani ni kubwa sana hadi kulipia chakula?
 
Ilikua Jumamosi, tulikuwa kwenye container moja mitaa ya nyumbani tuna burudika. Mziki na vinywaji, story na vicheko. Na joto la Dar upate kinywaji cha baridi iwe Fanta, Heineken, Ndovu au Coca-Cola.

Mara ilipita pick up nyeupe, ilipack pembeni. Alitoka dada mmoja alituambia kama tuna sahani twende atugaie vyakula. Hatukua na sahani lakini Wamachinga wanaouza vyombo walipata soko. Kila mtu alinunua sahani. Tulikwenda kule, yule sada alikua caterer na alipika chakula cha sherehe. Hatujui walikosana nini na mteja wake lakini aliamua kugawa chakula na kuondoka. Alikua na hasira sana hakutaka kuongea mengi.

Tulipata pilau, machalari, nyama ya ng’ombe na ya kuku. Baada ya kula wengine hata sahani walimuachia mwenye container.

Hivi ndibyo bahati ya mtende ilivyotushukia Jumamosi hiyo.

View attachment 1834953
Hapo kwenye machalari hapo daa.
Wacha nmeze mate kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikua Jumamosi, tulikuwa kwenye container moja mitaa ya nyumbani tuna burudika. Mziki na vinywaji, story na vicheko. Na joto la Dar upate kinywaji cha baridi iwe Fanta, Heineken, Ndovu au Coca-Cola.

Mara ilipita pick up nyeupe, ilipack pembeni. Alitoka dada mmoja alituambia kama tuna sahani twende atugaie vyakula. Hatukua na sahani lakini Wamachinga wanaouza vyombo walipata soko. Kila mtu alinunua sahani. Tulikwenda kule, yule sada alikua caterer na alipika chakula cha sherehe. Hatujui walikosana nini na mteja wake lakini aliamua kugawa chakula na kuondoka. Alikua na hasira sana hakutaka kuongea mengi.

Tulipata pilau, machalari, nyama ya ng’ombe na ya kuku. Baada ya kula wengine hata sahani walimuachia mwenye container.

Hivi ndibyo bahati ya mtende ilivyotushukia Jumamosi hiyo.

View attachment 1834953
Mtakuja kula sumu bibie, wengine nasikia wanapikia maji ya maiti shauri zenu
 
Back
Top Bottom