UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 740
- 903
Safi sana kwa ununuzi wa sahani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikua Jumamosi, tulikuwa kwenye container moja mitaa ya nyumbani tuna burudika. Mziki na vinywaji, story na vicheko. Na joto la Dar upate kinywaji cha baridi iwe Fanta, Heineken, Ndovu au Coca-Cola.
Mara ilipita pick up nyeupe, ilipack pembeni. Alitoka dada mmoja alituambia kama tuna sahani twende atugaie vyakula. Hatukua na sahani lakini Wamachinga wanaouza vyombo walipata soko. Kila mtu alinunua sahani. Tulikwenda kule, yule sada alikua caterer na alipika chakula cha sherehe. Hatujui walikosana nini na mteja wake lakini aliamua kugawa chakula na kuondoka. Alikua na hasira sana hakutaka kuongea mengi.
Tulipata pilau, machalari, nyama ya ng’ombe na ya kuku. Baada ya kula wengine hata sahani walimuachia mwenye container.
Hivi ndibyo bahati ya mtende ilivyotushukia Jumamosi hiyo.
View attachment 1834953
Mlichukuwa namba ya simu ili siku akiwa na hasira tena awapigie mkale msosi mnijulishe na mimi tafadhaliTena unapata minofu ya ng’ombe na ya kuku. Mungu gilets rizki kwa njia ya ajabu sana.
Nilihisi mleta uzi haliNyama ya mamba ni tamu sana kama samaki....umenikumbusha eni za brazillian restaurant pale obay na carnival ya Kenya