Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
20-23hutoki apooo....by any meansMimi hujapatia mkuu
Haha ukimkadria mtu kwenye 25+ anabisha kinomaHahahaaaa.
Nakuona nakuona usinilazimishe kulipua bomuMkuu nitake radhi hiyo age ya mtoto wangu wa kwanza
Ngoja waje mkuuMimi Je?
Mkuu huo uandishi wako unakimbiza 30 kabisa.Du! 18 nimetimiza sikukuu ya mwaka mpya yethu alipozaliwa na Mimi nazaliwa mdogo wake na kim
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kila mtu ni muhenga humuMinawaangalia tu....[emoji102]
Babu acha ubazazi sasa.. Unatubania ujueMwaka huu nagonga miaka 77
Umegonga mule mule aiseeeee.....[emoji12] [emoji12]Kwanini?
Hongera mkuu, sie wengine tushavuka hukoHapana huko mbali bado kama 3 hv nifikie huko
Hahahaha mkuu mbona unanishusha sana aisee,,mpaka kufikia 2010 nilikuwa nishamaliza form 6 hivyo kama unaweza kukadilia anzia hapo20-23hutoki apooo....by any means
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa muhenga heshima yakoHongera mkuu, sie wengine tushavuka huko
Hahaaahaaaa......Nakuona nakuona usinilazimishe kulipua bomu
Wewe utakuwa 38 hivi,,, naona una mawazo ya kimapinduzi hivi.. HahaaaMimi Je?
Uhenga ni dawa tosha, ndiomaana uzi hauja chafukwa kwa maneno ya hovyo wallah....[emoji13] [emoji13][emoji1] [emoji1] [emoji1] kila mtu ni muhenga humu
Hahaa. Midume itakuparamiaa...kibinti kibichi.Ukaona age hii ni 23 naona unanitafutia ugomvi na midumee wewe
Kosa si langu, wao ndio wanataka.Babu acha ubazazi sasa.. Unatubania ujue
Karibu sanaWahenga na uhenga wao
Vijana na ujana wao
Mi ni mpenzi mtazamaji
Duh! Mimi bado mtoto mkuu yaani hapa nasubiri matokeo ya form 4Mkuu huo uandishi wako unakimbiza 30 kabisa.