Bahatisha umri wa mwanaJF

Hahaaaa. Umejua kunichekesha ujue. Ila ndio hivyo mwisho wa siku maisha yanasonga mbele.

Nimefurahi kukuona tena rafiki. Uwe na asubuhi iliyo njema.
Ha ha ha ha nashukuru kuona nimekuongezea siku za kuishi mpendwa na kukuona tena jukwaan kwa mara nyingine,nikutakie siku njema kwako
 
Ha ha ha ha nashukuru kuona nimekuongezea siku za kuishi mpendwa na kukuona tena jukwaan kwa mara nyingine,nikutakie siku njema kwako
Shukrani sana. Be blessed.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Na mvua hiz za dar muhimu sana kupishana mpendwa ..ahaaa uswahili mtu kutoka seblwn kwenda chumbani anaenda kwa beseni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…