Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Hahaaaa. Umejua kunichekesha ujue. Ila ndio hivyo mwisho wa siku maisha yanasonga mbele.

Nimefurahi kukuona tena rafiki. Uwe na asubuhi iliyo njema.
Ha ha ha ha nashukuru kuona nimekuongezea siku za kuishi mpendwa na kukuona tena jukwaan kwa mara nyingine,nikutakie siku njema kwako
 
Ha ha ha ha nashukuru kuona nimekuongezea siku za kuishi mpendwa na kukuona tena jukwaan kwa mara nyingine,nikutakie siku njema kwako
Shukrani sana. Be blessed.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hahahaaaa. Utakuwa hapa 30 - 40 [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hahahaaaaa......umekosa.....jaribu tena mkuu unaweza ukajishindia zawadi....

971436c103ce1b12a6e58a8b9cb831b5.jpg
 
Back
Top Bottom