Bahiri kupitiliza

Tatizo ushalijua ni ubahiilii sasa unataka ushauriwe nini tena? Tafta hela nyingi ili ukihonga zisiwe zinakuuma.
 
Bado huna hela mkuu yaan bado sana endelea kuzijazajaza kwanza zikiwa nyingi hutoona kazi kutoa walau kidogo, narudia huna hela una vihela kwa hio ongeza ongeza hela ziwe nyingi nyingi
 
Wewe ubahili wako upo level ya uchoyo. Yan unajua amepata shida na bado ukashindwa kumsaidia.

Badilika bana kwanza ukiwa mtoaji baraka zinaongezeka .
Uongo huu kuupata nibonyeze *# kisha?
 
Mkuu kujipata bado halafu nina malengo makubwa mno kiac kwamba mimi mwenyewe naona pesa ainitoshi japo sina kipato kibaya sana kukunja 30k mpaka 60k kwa siku ni kawaida but nahisi malengo niliyonayo ndio yananifanya nione pesa ainitoshi
Una akiba kiasi gani? Kama una zaidi ya 5m unaweza kuhonga angalau 10,20,30,40,50 usizidi 50, kwa sababu 50 ni 1% ya 5m,
 
Sio uongo jaribu uone.. kuna mtu aliniambia kua kila akinipa pesa anapata deal anaingiza pesa baada ya hapo.
Sio kweeli emu tujaribu na mimi weka namba zako za miamala nikujazie nipatemo hayo madili
 
Bro wee sio bahiri...okoa kibunda
 
Mkuu, usiwe mgumu kupitiliza kama demu unaona umemwelewa na ana uelekeo mpe hela kadri ya uwezo wako,
Ukikimbia demu kisa kaomba hela utakimbia wangapi

Note:

Kuna mmoja kaniomba 30k kupitia whatsapp tangu j5 sijafungua sms yake, sio demu wangu official ndo maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…