Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh [emoji849][emoji3][emoji3]Amina, Amina Kadala
Small wear, ...
Iliyo halisi ni hii
I'm in a...
I'm in a Dallas.
Summer wear,
I'm in a cool shade by the river,
Mimi nilikuwa nadeka sana hivyo kwenye kibabaa na kimamaa nilikuwa napewa nafasi ya kuwaga mtoto kila siku imagine,
Hiyo ya kijani ya wazungu sisi yetu hiyo na haibadiliki tumeifanyia coverHuu wimbo kuna watu wengi sana waliingia chaka na hadi leo bado kuna watu wanaingia chaka 😀😀😀
Baishoo I love you bebi🎶 ❌
(I swore I love you baby)✅
The baby to the sani❌
(You gave that to the sun)✅
The saa to ze ona❌
(The Sun threw me yonder)✅
~The ona to ze muuuni ❌
(The yonder to the men)✅
The muuuni to ze bushibeya❌
(The men to the books quickly)
cherewani 1 2 3 & 4❌
(Say 1 2 3 & 4)✅
katakona❌
(That's a bonus)✅
Duh sijui tulikuwa tunakwama wapi
Lol!! Binamu umejua kuniweza.
Japo najaribu kuimba kama hainogi vile. 😂😂
Ndio maana tunashauriwa tuchukulie vitu easy humu....laa sivyo! 😀Kabisa kabisa kiongozi...!