Baishoo I Love You Baby. Kumbe Sio Aisee! Lol 🀣

Mimi nilikuwa nadeka sana hivyo kwenye kibabaa na kimamaa nilikuwa napewa nafasi ya kuwaga mtoto kila siku imagine,

Daaaaah umenikumbusha mbali huo mchezo jamani nilioa wake wawili mtu na ndugu yake walikuwa mapacha aisee.

Basi mpaka tunakuwa wakubwa wote wakawa wananiita mume wangu mume wangu. Utoto jamani lol.

😍
 
Hiyo ya kijani ya wazungu sisi yetu hiyo na haibadiliki tumeifanyia cover
 
Lol!! Binamu umejua kuniweza.

Japo najaribu kuimba kama hainogi vile. πŸ˜‚πŸ˜‚

Naachaje kukuweza kwa mfano binamu yangu mie. Hahahah.

Haiwezi kunoga my dear vya uswazi ndio vinakuwaga vitamu mwaya. Lol.

Nipo njiani nakuja Chuga my lovely ngoja niku-check pm mwaya.

😍
 
Haya ndiyo matokeo ya kuimba β€œelomenopinkyu” badala ya β€œlmnopq” tukiwa nursery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…