Sultan Zuwera
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 246
- 336
[emoji874] Iko katika hali nzuri ni ya 2021. Muuzaji ni mimi mwenyewe.
[emoji874] Ina vitu na nyaraka zifuatazo:
1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Haina deni la TRA kwa mwaka 2022
4. Imefungwa GPS
5. Imejengewa sehemu nzuri ya kukaa abiria kwa ajili ya kuzuia vumbi na mvua.
6. Ina Sight Mirror kubwa za gari
7. Imejengewa ngao imara kwa nyuma
8. Seat Cover zote zimeshonewa Plastic ngumu
9. Ipo Dar es Salaam eneo la Kitunda RELINI Dar es Salaam
10. Bei ya mwisho kabisa ni Shs 5,500,000/=
[emoji874] Kwa WhatsApp tumia Na. 0716148888
[emoji874] Kwa kuongea tumia Na. 0783237333
[emoji874] Karibuni sanaView attachment 2488069View attachment 2488070