Bajaj aina ya TVS inauzwa

Bajaj aina ya TVS inauzwa

Sultan Zuwera

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
246
Reaction score
336
[emoji874] Iko katika hali nzuri ni ya 2021. Muuzaji ni mimi mwenyewe.
[emoji874] Ina vitu na nyaraka zifuatazo:
1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Haina deni la TRA kwa mwaka 2022
4. Imefungwa GPS
5. Imejengewa sehemu nzuri ya kukaa abiria kwa ajili ya kuzuia vumbi na mvua.
6. Ina Sight Mirror kubwa za gari
7. Imejengewa ngao imara kwa nyuma
8. Seat Cover zote zimeshonewa Plastic ngumu
9. Ipo Dar es Salaam eneo la Kitunda RELINI Dar es Salaam
10. Bei ya mwisho kabisa ni Shs 5,500,000/=
[emoji874] Kwa WhatsApp tumia Na. 0716148888
[emoji874] Kwa kuongea tumia Na. 0783237333
[emoji874] Karibuni sanaView attachment 2488069View attachment 2488070
20220802_124201.jpg
 
[emoji874] Iko katika hali nzuri ni ya 2021. Muuzaji ni mimi mwenyewe.
[emoji874] Ina vitu na nyaraka zifuatazo:
1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Haina deni la TRA kwa mwaka 2022
4. Imefungwa GPS
5. Imejengewa sehemu nzuri ya kukaa abiria kwa ajili ya kuzuia vumbi na mvua.
6. Ina Sight Mirror kubwa za gari
7. Imejengewa ngao imara kwa nyuma
8. Seat Cover zote zimeshonewa Plastic ngumu
9. Ipo Dar es Salaam eneo la Kitunda RELINI Dar es Salaam
10. Bei ya mwisho kabisa ni Shs 5,500,000/=
[emoji874] Kwa WhatsApp tumia Na. 0716148888
[emoji874] Kwa kuongea tumia Na. 0783237333
[emoji874] Karibuni sanaView attachment 2488069View attachment 2488070View attachment 2488071
Ni hiyo
20220802_124149.jpg
 
Bajaj aina ya TVs vs Shell ya Total....
Anyway, tumekuelewa.!!
 
Wakuu mniwie radhi kwa mgeuko wa picha zangu. Ni simu yangu bwana [emoji1][emoji1]
 
Hii bajaji kwa moshi inge nilipa sana too bad January hii pesa amna
 
Back
Top Bottom