safariwafungo
Senior Member
- Apr 26, 2008
- 116
- 51
Duh...
Hope huta kula million moja 1,000,000 kwa ajili ya Bajaj Business Plan ukamwacha jamaa na 11,000,000.
MJ
MJ kila kitu kina gharama yake unajua hata kwenda msalama hutu gharimu alot of calories of energies, kwa mantiki hiyo ni kweli kabisa mheshimiwa huyu if h/she is in need of ushauri basi ita mgharimu vitu kama credit ya mawasiliano. Lakini jambo la msingi ni vyema tukaifuta fikra potofu ya kwamba ujasilimiamali ni ule kwa minajiri ya kuondoa umaskini wa mtu mmoja mmoja yaani MKUKUBI, rahasha ni vyema vijana wa leo hasa graduates tukabadili mind set zetu nakufanya vitu kwa minajiri ya jamii nzima la sivyo nyimbo za ufisadi zitaelendelea kupamba media zetu. Unaonaje muheshimiwa na milioni zake 12 akaungana na yule bwana wa ppale BENJAMINI MKAPA EXPORT ZONE mwenye milioni 16 na kuinvest kwenye kitu cha adabu zaidi na bila shaka tutapungunza malalamiko ya bidhaa fake kwa kuthamini vyetu.