Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Bajaj ni maumivu maana hata mjini hawaruhusiwi kuingiaSasa si bora muwateme hao uber, it doesnt make sense. Kama kwa siku unaweza kusave hata elfu 10 usipokuwa uber na hio iwe mbali na matumizi ni kiwango kizuri. Kwa mwezi ni laki 3!
Uber ni Magari maalumu ya kusafirisha Mizigo kwa hapa Dar, Mizigo hiyo ni sambamba na Binadamu.Uber ndo nini tueleweshwe wa ambao hatuongozwi na Makonda
Tuko kwenye ubepari hakuna aliyelazimishwa kujiunga UberPia uelewa wa madereva bajaj ni wa kutia shaka. Zero brain
Ulijiongeza kujua bei ya hiyo bajaj na mafuta india ni kiasi gani na TZ kiasi gani?Nliwahi kuishi bangarole, mpaka dereva wa auto (huku tunaziita bajaj) unamhurumia, mtu unatembea umbaliwa kama dar kibaha then unalipa 7000 tu.ambayo ni rupee 200-230
aiseee hahaaaaKaingiza - 30,000
Uber(25%) - 7,500
Bakiwa - 22,500
Boss - 15,000
Bakiwa - 7,500
(assuming mafuta umeweka) kweli akili kunywele!.