Hutakuwa wa kwanza. Walishajaribu kina FastaFasta, msosi fasta wakaangukia pua. LaBda uanzishe Nyapu4sale App
Kwanini zilikufa? Lack of capital ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakuwa wa kwanza. Walishajaribu kina FastaFasta, msosi fasta wakaangukia pua. LaBda uanzishe Nyapu4sale App
Amieni mikoani....huku madereva bajaji ndo tunaongoza kwa kununua viwanja na kujenga nyumba siku hz mpka kula watoto
Tufanye bila UBER unapata hesabu ya 17,000/= kwa siku,Kaingiza - 30,000
Uber(25%) - 7,500
Bakiwa - 22,500
Boss - 15,000
Bakiwa - 7,500
(assuming mafuta umeweka) kweli akili kunywele!.
Huwezi pata hesabu 17,000 kwa siku, 30,000 ni makadirio ya kiwango cha chini ukiwa na Uber au bila Uber.Tufanye bila UBER unapata hesabu ya 17,000/= kwa siku,
Embu igawe hii tuone
Ila one fact ni kwamba uwepo wa Uber utakua umeongeza wateja wako, maana utakua na wale wa siku zote + walioko UberHuwezi pata hesabu 17,000 kwa siku, 30,000 ni makadirio ya kiwango cha chini ukiwa na Uber au bila Uber.
Also Fact ni Chombo chako kitaenda Kms nyingi kwa bei ndogo, mwisho wa siku unamaliza mkataba na chombo kibovu!. Au kama ni Boss hela yako utaimalizia kwenye matengenezo!.Ila one fact ni kwamba uwepo wa Uber utakua umeongeza wateja wako, maana utakua na wale wa siku zote + walioko Uber
kwa hiyo kwenda sehemu na passo au bajaj nan anaingiza pesa nyingi kama sio passoBei ya bajaj na bei ya passo zinafanana sana.. kama passo zipo uber.. bajaj hawez kushindwa..
ila hii biashara anaefaidika sana ni uber mwenyewe
Mi pia juzi nimetoka kariakoo hadi Mbezi Luis ikasoma elfu 17. Ikabidi nimpe elfu 20 tu kiroho safiNahisi kuna njia wanapata hela huko huko uber maana kila uchao bajaji mpya zinajiunga huko uber. Nilishangaa sana siku nimetoka sinza saa tatu usiku na uber poa hadi mbezi beach africana ikasoma elfu tatu. Dah nilimuonea yule jamaa huruma nikampa elfu tano nkamwambia nyingne ni yake sijui wanapataje hela kwakweli
Mkombozi kwa wengiUber ni umaskini wa kujitakia