Bajaj kuingia UBER ni maumivu matupu

Hutakuwa wa kwanza. Walishajaribu kina FastaFasta, msosi fasta wakaangukia pua. LaBda uanzishe Nyapu4sale App

Kwanini zilikufa? Lack of capital ?
 
Shida umeangalia juu juu. Sasa kama hvyo vyote alkua navyo even before hajajiunga na UBER? Na pia ni gharama ndogo mbona?. Rethink!!!
 
Tufanye bila UBER unapata hesabu ya 17,000/= kwa siku,
Embu igawe hii tuone
Huwezi pata hesabu 17,000 kwa siku, 30,000 ni makadirio ya kiwango cha chini ukiwa na Uber au bila Uber.
 
Huwezi pata hesabu 17,000 kwa siku, 30,000 ni makadirio ya kiwango cha chini ukiwa na Uber au bila Uber.
Ila one fact ni kwamba uwepo wa Uber utakua umeongeza wateja wako, maana utakua na wale wa siku zote + walioko Uber
 
Ila one fact ni kwamba uwepo wa Uber utakua umeongeza wateja wako, maana utakua na wale wa siku zote + walioko Uber
Also Fact ni Chombo chako kitaenda Kms nyingi kwa bei ndogo, mwisho wa siku unamaliza mkataba na chombo kibovu!. Au kama ni Boss hela yako utaimalizia kwenye matengenezo!.
 
mtu akifanya isipomlipa si anarudi tu kule alikozoea.. tusiwe wepesi kukatisha tamaa watafutaji
 
Bei ya bajaj na bei ya passo zinafanana sana.. kama passo zipo uber.. bajaj hawez kushindwa..


ila hii biashara anaefaidika sana ni uber mwenyewe
kwa hiyo kwenda sehemu na passo au bajaj nan anaingiza pesa nyingi kama sio passo
 
Uber mnyonyaji mpya barani
 
Uber ni umaskini wa kujitakia
 
Mi pia juzi nimetoka kariakoo hadi Mbezi Luis ikasoma elfu 17. Ikabidi nimpe elfu 20 tu kiroho safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…