KERO Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa zinajipandishia nauli vinavyotaka

KERO Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa zinajipandishia nauli vinavyotaka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa inatuumiza wateja kutojua bei elekezi na Sh 1,500 hiyo ni nyingi hata kulinganisha umbali naomba LATRA walitazamee.
 
LATRA hawahusiki na kupanga bei elekezi ya bajaji, bei hutofautiana kulingana na umbali, eneo au wakati
 
Back
Top Bottom