Bajaji za Ferry-Kariakoo zifutwe

Bajaji za Ferry-Kariakoo zifutwe

Waondolewe harakaaa...

Wanaharibu mpangilio wa kituo...

Wamejazana jazana tu...
 
Kwani kutoka Congo kwenda Gerezani au Msimbazi B kuna umbali gani? Au unadhani daladala zinazoishia mnazi mmoja wote wanafanya kazi hapo mnazi. Acha kufikiria kizembe
Kuna BRT ya Gerezani - Posta?
 
Kuhusu route ya Posta, Sinza hadi makumbusho via morogoro road nakupinga. Vituo vipo ila sio vya kupigia debe ni kushusha na kupakia.

Hakuna kukaa hapo na kupiga debe
 
Kuhusu route ya Posta, Sinza hadi makumbusho via morogoro road nakupinga. Vituo vipo ila sio vya kupigia debe ni kushusha na kupakia.

Hakuna kukaa hapo na kupiga debe
Ili ijulikane kuna kituo, Basi lazima liondoke kwenye main lane lipaki. Sasa kama linasimama na kuwafanya watu wa nyuma yake wasimame kuna kituo hapo? Angalia Upya, pale Magomeni, Fire, Mahakama ya Ndizi, hivyo ni vituo? .
 
Kwa yule aliopi Mnazi mmoja anataka kwenda Ferry hiyo Dart ataipandaje?
 
Back
Top Bottom