Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kwa akili yako ni punguzo la kodi ipi?Hilo pungizo la kodi kwa wafanyakazi, toka mshahalra wa shilingi 170,000 hadi 270,00 hujalisikia?
Wewe vipi unaongolea October? Watu wanawaza kumlazimisha aongeze kidogo muda, atake asitake na Spika ameahidi wakirudi wataangalia uwezekano wa kulitekelezaMtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Paschal umejua kujichetua, umeona harakati zitakuua njaa.Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Tatizo ni nini haswa!!Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
brother mayala ebu tusaidie hiyo 170,000 to 270,000 ni nini na inaenda kwa tabaka lipi tu ajaribu kupitia kurasa za habari vyombo mbali mbali wanandika tu wana kosa udadisi kabisa kutafuta wataalamu kuwahoji na kutoa majibu ili jamii ieleweMtu haishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Niko pamoja nao sitaki unafiki.Jana nilikuwa napitia page za Raia wa Burundi wengi wanaonyesha kufurahia kifo cha Nkurunziza wengine wameenda mbali zaid nakusema azikwe kama ambavyo alikuwa akiwazika wapinzani na watu waliokuwa wakiikosoa Serikali.
Duh...!Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?