Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari???.bajeti hii ni ya wananchi wote wa tabaka la chini, kati na juu, wakulima na wafanyakazi, wajasiriamali na wafanya biashara wakubwa sote tunanufaika kwa namna moja au nyingine, hata mshara ulio nao unatosheleza mahitaji yako kwa sababu mfumuko wa bei umedhibitiwa sana. kwa kweli serikali ya awamu hii ya 5 inafanya kazi inayo onekana.
natamani sana katiba ibadilishwe Rais Magufuli aongezewe Muda zaidi maaana siamini bada yake kama tutapata mtu wa aina yake labda baada ya miongo kadhaa.
Usiwe kasuku kukariri kila unalo sikia,, Je mwalimua anaiba Vipi kura?..UNAWEZA kutuletea maelezo ya Kina Jinsi mwalimu anavyo iba kura?. au kwa SABABU wengi wa wasimamizi WA vituo ni walimu?.. Bado haitoshelezi make huko ndani ya vituo kuna mawakala wa vyama vya SIASA na wangalizi wengine,,,,Hebu tufafanulie.wafanyakazi wa nchi hii hasa walimu ni disaster. siku ya uchaguzi ndo watashiriki kuiba kura kwa ujira wa shilingi 30,000 kwa siku kwa siku hiyohiyo.
Usiwe kasuku kukariri kila unalo sikia,, Je mwalimua anaiba Vipi kura?..UNAWEZA kutuletea maelezo ya Kina Jinsi mwalimu anavyo iba kura?. au kwa SABABU wengi wa wasimamizi WA vituo ni walimu?.. Bado haitoshelezi make huko ndani ya vituo kuna mawakala wa vyama vya SIASA na wangalizi wengine,,,,Hebu tufafanulie.