Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

October 25 ndiyo jibu, kama wafanyakazi waendelee kukosa nyongeza ya mshahara kwa miaka mingine 5, kama watumishi wa umma waendelee kutukanwa kwenye majukwaa!
Hata mwenyewe anajua ndio maana pale NEC ndipo jicho lake lilipo.
 
Nafkiri ni sababu wameshauona upenyo wa kupitia kurudi tena hekaluni! Nakumbuka majuzi Ndugai kasema ana uhakika wabunge wote wa CCM lazima watarudi bunge lijalo! Yeye sio mpiga kura , wala sio tume ya uchaguzi, je kwanini awahakikishie hata wa majimbo mengine eti shida tu ni wagombea wa CCM? Nimeshangaa hata TAKUKURU hawajamuita kumhoji wala tume ya uchaguzi haijakemea kauli hiyo maana inadhihirisha wazi kuwa kuna njia ya mkato isiyo ya haki ilishapikwa na kuwekwa mezani tayari kwa kazi kama ilivyofanywa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa!

Wanasiasa siku zote huwajali wananchi na hata watumishi pale tu wanapokuwa na shida nao, akiwa hana shida nao ni vituko vitupu! Hata hivyo katika kundi la watumishi , utaona walimu ni kundi linaloangusha sana wenzao, hata hapa majuzi wamefanikiwa kumuingiza JPM katika rada zao kwenye uchaguzi mkuu wa CWT Dodoma baada ya mkuu huyo wa kaya kuruka kihunzi cha Meimosi kupitia janga la Corona, Cha ajabu walimu wakamueleza mkuu wa kaya kuhusu madeni yao badala ya mshahara mpya!!

Matokeo yake akaishia kuwahakikishia kuyalipa madeni, wakashangilia!!!!....Hivi si yeye aliahidi watumishi mwaka jana kuwa lazma ataongeza mshahara mpya unaoshikika kabla hajamaliza muhula huu???...Najiuliza hivi hapa msahaulifu ni yeye au ni walimu???....Hizi ahadi za kulipa madeni mbona ni za kila mwaka??? Labda pengine huwa anakuwa anawadanganya, maana mtu anaeongopa huwa hakumbuki alichosema awali!
 
Natumai una akili nzuri tu,Ila hautaki kuzitumia...
Mfumuko wa bei ulishashindikana kuudhibiti,tazama sukari,ilitoka 1800/kg kwa sasa inaogelea 3000-3500

Mafuta ya kula yamepanda pia,mazao ya chakula tumeambiwa tuuziwe kwa bei ya juu sanaaa!..
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
hiyo nyongeza ina effect kwenye take home peke yake,haina mabadiliko yeyote kwenye mahesabu ya kwenye mifuko ya jamii

na haya ndio ambayo huwa tunajali sana tunapozungumzia nyongeza ya mshahara,sasa kuongezewa elfu 50 kila mwezi halafu pensheni haiongezeki ni kama haina maana

tunacholilia ni nyongeza ya mshahara sambamba na punguzo la kodi...
Mimi nimezungumzia upande wa Kodi, huko kwingine hata sitaki kupasikia mtajiju watumishi wa uma maana mtu wenu amishasema mpaka amalize ile miradi mikubwa ndipo afikrie kuwaongezeeni, sijui ni lini? Maana sgr yenyewe tu mpaka anatoka madarakani hata nusu itakuwa haijafika!!
 
Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.

Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
Mnavopandaga daladala bure mnadhan analipa nan au mnavotutisha unajua mm nan sasa twenden mdogo mdogo

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
"Tanzania Tanzania nakupenda kwan moyo woteeee" kwa sauti ya mwananchi mzalendo, huhuhuhuhuhuhuhuh
 
warioba alipoleta katiba mpya mkaa kimya mkaona hayawahusu,akaishia kupigwa makofi na makonda ,hamkupa hata pole,sasa mfunge midomo yenu ,magufuli Yuko sahihi
 
Nchi hii itajengwa na sisi wenyewe. Sasa aongeze mishahara reli isimame, bwawa la umeme la Nyerere lisimame, ununuzi.wa ndege usiendelee. Kuna mahara inafika nchi lazima.iendelee kwa jasho la watu. Watoto wetu watakuja kufaidi haya yoye sisi tukiwa makabirini walituombea kwa uzalendo wetu wa kujinyima ili wao waishi vizuri
 
Mkapa hakuongeza mshahara lakini maisha ya wafanyakazi yalikuwaje, dawa si kuongeza mshahara bali ni kudhibiti mfumko wa bei leo hii mshahara ukiongezwa kila kitu kitapanda bei kuanzia daladala, kodi ya nyumba , chakula na vinginevyo inachotakiwa kufanya serikali ni kupunguza mfumko wa bei
Kweli kabisa si unakumbuka mwaka 2015 kilo ya Sukari ilikua 1800 ila kwa sasa nasikia ni 2800-3000 alafu mtu anataka nyongeza ya mshahara wakati bei ya vitu ipo chini kabisa.Bando ya bati ilikua 240000 leo 320000 alafu eti mtu anataka nyongeza ya mshahara.
 
Kwaiyo wewe kenge unadhani madaktari wanapofanya kazi sehemu mbili huwa wana saini makalio yako?

Mbona hamsemi? alafu nyang'au mwenyewe.

Tatizo mmekaririshwa kila mnachoambiwa nyie jibu ni NDIO.

Siku mtakayonunua sukari kwa shilingi elfu 4 kwa kilo ndipo mtaelewa.
wewe jamaa uelewa wako ndio upo hewa kabisa,sijui naongea na mpiga debe.

Inaonekana hata hujui chochote tunapoongea maswala permanent contract na temporarily contract.
 
Siasa za Kiafrika Zinakera
Hvi N kwel kuwa hujackia punguzo la kodi linalowabeba wenye mishahara midogo kbx yan

N kwel hujackia au ndo kila ktu tunapotosha tuuu????
Unaongeza shilingi 33,800/=?
 
bajeti hii ni ya wananchi wote wa tabaka la chini, kati na juu, wakulima na wafanyakazi, wajasiriamali na wafanya biashara wakubwa sote tunanufaika kwa namna moja au nyingine, hata mshara ulio nao unatosheleza mahitaji yako kwa sababu mfumuko wa bei umedhibitiwa sana. kwa kweli serikali ya awamu hii ya 5 inafanya kazi inayo onekana.

natamani sana katiba ibadilishwe Rais Magufuli aongezewe Muda zaidi maaana siamini bada yake kama tutapata mtu wa aina yake labda baada ya miongo kadhaa.
Nenda akakutawale wewe na familia yako, mfumuko wa bei gani umezuiwa, sukari toka 1,500_2,900, cement 14,000_19,000, bati bando 220,000_270,000, nondo 14,000_22,000 etc acheni mapambio yenu
 
Hawa watu hata ufanye nn hawaridhiki! Na hamuoni hata nafuu yoyote😒😒😒
 
Nenda akakutawale wewe na familia yako, mfumuko wa bei gani umezuiwa, sukari toka 1,500_2,900, cement 14,000_19,000, bati bando 220,000_270,000, nondo 14,000_22,000 etc acheni mapambio yenu
Unadhani hawa mapimbi kula kulala yanajua bei ya nondo. Achana nao
 
Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.

Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
Nyongeza ya nini wakati bado nchi inajenga uchumi kama mmeweza kuvumilia miaka 5 vumilieni na 5 mingine CCM oyee
 
Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.

Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita....
Mkuu katika hawa wafanyakazi waliopuuzwa na kunyimwa nyongeza ya mshahara kwa miaka yote hiyo na polisi wamo ?
 
Back
Top Bottom