Sio swali, nilitakiwa kuweka alama ya mshangao.
Tumia alama ya kuuliza (?), kama ni swali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia alama ya kuuliza (?), kama ni swali.
Hilo punguzo la kodi kwa wafanyakazi, toka mshahara wa shilingi 170,000 hadi 270,00 hujalisikia?
Uwe unasikiliza vizuli sio kudaka maneno nusu nusu itakukosti nyang'au wewe...wale kosa lao sio kufanya kazi sehemu mbili,bali kosa lao kusaini mikataba ya kazi permanent sehemu mbili tofauti.Unaoneka wewe si mfatiliaji mzuri wa mambo.
Hujasikia juzi Wakufunzi wa Chuo kimoja wamekamatwa kwa kuhujumu uchumi, wakati kosa ni kufanya kazi chuo zaidi ya kimoja ili kukuza vipato vyao.
Yani Madaktari wasiwe na dispensaries zao, fundi umeme usifanye part time, na IT usiguse kazi ya mtu..
Alafu unaleta story za kipato cha ziada .
Nyie ndo wale Leo niko masikini huulizi nimepataje umasikini, lakini kesho nikiamka tajiri unakuja kunikamata na kuhoji nimetoa pesa wapi.
Unachokiongea kweli unakijua, wapi mfumuko wa Bei umepungua?Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?
Mkuu bei ya cementi au nondo au sukari mwaka 2015 na sasa 2020 iko vilevele, imeshuka au imepanda?Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?
Kwaiyo wewe kenge unadhani madaktari wanapofanya kazi sehemu mbili huwa wana saini makalio yako?Uwe unasikiliza vizuli sio kudaka maneno nusu nusu itakukosti nyang'au wewe...wale kosa lao sio kufanya kazi sehemu mbili,bali kosa lao kusaini mikataba ya kazi permanent sehemu mbili tofauti.
Kwa hiyo elfu 50 umeona ni dili sana kwako?😀😀😀 Wenzako wabunge huko wanalipwa mamilioni na hawakatwi kodi!Sasa ni matako yako hayo? Yaani nyie ndio mnatufanya wapinzani tuonekane manyumbu! Maanake mtu aliyekuwa anapata 2.24m hatakatwa kodi, kodi inaanza kwa mtu anayepata 3.24m kwa mwaka. Sasa mimi kwa mshahara wangu nimepiga hesabu nikakuta kuna punguzo la elfu 50 kwa mwezi, utasemaje hakuna punguzo hapo? Mnyonge mnyongeni......! Sema Magu amezingua kutowaongezea mshahara tu hao watu wake, ila yote hiyo ni kiburi cha huyo mzee!
Wacha ujinga dogo! Unajua nilikuwa namjibu nini huyo mtu?Kwa hiyo elfu 50 umeona ni dili sana kwako?😀😀😀 Wenzako wabunge huko wanalipwa mamilioni na hawakatwi kodi!
Mkapa hakuongeza salary????una uhakika au umeandika kufurahisha jukwaa?narudia are you sure na ulichokiandika ?Mkapa hakuongeza mshahara lakini maisha ya wafanyakazi yalikuwaje, dawa si kuongeza mshahara bali ni kudhibiti mfumko wa bei leo hii mshahara ukiongezwa kila kitu kitapanda bei kuanzia daladala, kodi ya nyumba , chakula na vinginevyo inachotakiwa kufanya serikali ni kupunguza mfumko wa bei
We ndio dogo unaona 5K ni dili!Wacha ujinga dogo! Unajua nilikuwa namjibu nini huyo mtu?
Sio kirahisi namna hiyo bro...Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
hiyo nyongeza ina effect kwenye take home peke yake,haina mabadiliko yeyote kwenye mahesabu ya kwenye mifuko ya jamiiSasa ni matako yako hayo? Yaani nyie ndio mnatufanya wapinzani tuonekane manyumbu! Maanake mtu aliyekuwa anapata 2.24m hatakatwa kodi, kodi inaanza kwa mtu anayepata 3.24m kwa mwaka. Sasa mimi kwa mshahara wangu nimepiga hesabu nikakuta kuna punguzo la elfu 50 kwa mwezi, utasemaje hakuna punguzo hapo? Mnyonge mnyongeni......! Sema Magu amezingua kutowaongezea mshahara tu hao watu wake, ila yote hiyo ni kiburi cha huyo mzee!
Unachangia fatilia historia ya kuongezwa mshahara na upandishaji wa vitu mwenye nyumba akijua wafanyakazi wameongezwa mshahara na yeye anaongeza kodiKumbe mfumuko wa bei huwa unasababishwa na nyongeza ya mishahara ?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, mkuu uko serious kweli. Hebu tuone,Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?
Ni kweli hiyo ndio hali yangu kwa sasaUmekuwa na maisha magumu na kiofisi chako Cha chumba kimoja hapo kwenye la Africasana Kama mama ntilie.
Kweli tupu!Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...