Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Duh....!Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh....!Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Sawa. Tusiishi kwa kumtegemea mwanadamu. Piere hayupo. Yeyo atayekuwepo!Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Siasa za Kiafrika ZinakeraAwamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita.
Wakadanganya anajali wafanyakazi wa nchi hii lakini hajaonyesha jambo lolote juu ya kipato cha mafanyakazi zaidi ya kumnyonya kodi toka kwenye mshahara hadinkwenye manunuzi analipa kodi tu
Ni kwa miaka 5 ajira zimeporomoka katika kuajiri na sekta binafsi zikilia ukata.
Ila kaweza kujipitishia sheria ya kutoshitakuwa ndani ya siku 5.
we si unasubili uteuzi, huna shidaMtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Hongera zao tunawaonea wivu kwa kufiwa kwa kweliJana nilikuwa napitia page za Raia wa Burundi wengi wanaonyesha kufurahia kifo cha Nkurunziza wengine wameenda mbali zaid nakusema azikwe kama ambavyo alikuwa akiwazika wapinzani na watu waliokuwa wakiikosoa Serikali.
Hapo inabidi kununua 'katambuga' tu mkuu maana ndala haziwezi kuhimili vishindo.Lah, sasa hii ndiyo ndoa ya kikiristo...Yaani mwaka wa saba ndala ni zilezile hadi zimetoboka kwa chini ..misigino minakanyaga lami..
Poleni watumishi wa umma...endeleeni kuvumia huenda neema ikafunguliwa hadi mkabakia midomo wazi! Mvumilivu hula mbivu...
Jifunze kwanza kuandika vizuri halafu urudi hapa jamvini.Siasa za Kiafrika Zinakera
Hvi N kwel kuwa hujackia punguzo la kodi linalowabeba wenye mishahara midogo kbx yan
N kwel hujackia au ndo kila ktu tunapotosha tuuu????
Nyongeza ya mshahara huwa ni kwa sababu ya mfumuko wa bei, uliishia darasa la ngapi.Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?
Siasa ni ajira kwa miaka ya sasa hata hao wanaojidai kupiga kelele nao tukiwapa nafasi wanaweza fanya madudu zaidi ya aya unayoyaona sahvMtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
KuuMtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Tumia alama ya kuuliza (?), kama ni swali.Nyongeza ya mshahara huwa ni kwa sababu ya mfumuko wa bei, uliishia darasa la ngapi.
Unaoneka wewe si mfatiliaji mzuri wa mambo.Fanyeni kazi mbadala muache kulilia nyongeza,Mimi kamshahara kangu ni kadogo sana,nikikata kila mtu atacheka but sitakaa niililie government yetu iti kwanini hakuna nyongeza
Mishahara hata kwa wafanyakazi wa nchi za ulimwengu wa kwanza haijawahi kutoshereza ije kuwa Tanzania?
Piga kazi mbadala na hiyo uliyoajiliwa nayo.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
We ni m*puuzi*Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?