Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Kiini machoa bwana shee!Punguzo la kodi ya wafanyakazi hujaliona bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiini machoa bwana shee!Punguzo la kodi ya wafanyakazi hujaliona bwashee?!
Hata mwenyewe anajua ndio maana pale NEC ndipo jicho lake lilipo.October 25 ndiyo jibu, kama wafanyakazi waendelee kukosa nyongeza ya mshahara kwa miaka mingine 5, kama watumishi wa umma waendelee kutukanwa kwenye majukwaa!
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Natumai una akili nzuri tu,Ila hautaki kuzitumia...
Mfumuko wa bei ulishashindikana kuudhibiti,tazama sukari,ilitoka 1800/kg kwa sasa inaogelea 3000-3500
Mafuta ya kula yamepanda pia,mazao ya chakula tumeambiwa tuuziwe kwa bei ya juu sanaaa!..
Mimi nimezungumzia upande wa Kodi, huko kwingine hata sitaki kupasikia mtajiju watumishi wa uma maana mtu wenu amishasema mpaka amalize ile miradi mikubwa ndipo afikrie kuwaongezeeni, sijui ni lini? Maana sgr yenyewe tu mpaka anatoka madarakani hata nusu itakuwa haijafika!!hiyo nyongeza ina effect kwenye take home peke yake,haina mabadiliko yeyote kwenye mahesabu ya kwenye mifuko ya jamii
na haya ndio ambayo huwa tunajali sana tunapozungumzia nyongeza ya mshahara,sasa kuongezewa elfu 50 kila mwezi halafu pensheni haiongezeki ni kama haina maana
tunacholilia ni nyongeza ya mshahara sambamba na punguzo la kodi...
Mnavopandaga daladala bure mnadhan analipa nan au mnavotutisha unajua mm nan sasa twenden mdogo mdogoAwamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
Baba yenu jamani alishasema mpaka amalize miradi mikubwa ndipo afikrie kuwaongezeeni, watumishi wa uma siyo kipaumbele chake!We ndio dogo unaona 5K ni dili!
Duh...!.Kuu
Naona na wewe umekata tamaa,uko desperate
Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa
Kweli kabisa si unakumbuka mwaka 2015 kilo ya Sukari ilikua 1800 ila kwa sasa nasikia ni 2800-3000 alafu mtu anataka nyongeza ya mshahara wakati bei ya vitu ipo chini kabisa.Bando ya bati ilikua 240000 leo 320000 alafu eti mtu anataka nyongeza ya mshahara.Mkapa hakuongeza mshahara lakini maisha ya wafanyakazi yalikuwaje, dawa si kuongeza mshahara bali ni kudhibiti mfumko wa bei leo hii mshahara ukiongezwa kila kitu kitapanda bei kuanzia daladala, kodi ya nyumba , chakula na vinginevyo inachotakiwa kufanya serikali ni kupunguza mfumko wa bei
wewe jamaa uelewa wako ndio upo hewa kabisa,sijui naongea na mpiga debe.Kwaiyo wewe kenge unadhani madaktari wanapofanya kazi sehemu mbili huwa wana saini makalio yako?
Mbona hamsemi? alafu nyang'au mwenyewe.
Tatizo mmekaririshwa kila mnachoambiwa nyie jibu ni NDIO.
Siku mtakayonunua sukari kwa shilingi elfu 4 kwa kilo ndipo mtaelewa.
Unaongeza shilingi 33,800/=?Siasa za Kiafrika Zinakera
Hvi N kwel kuwa hujackia punguzo la kodi linalowabeba wenye mishahara midogo kbx yan
N kwel hujackia au ndo kila ktu tunapotosha tuuu????
Nenda akakutawale wewe na familia yako, mfumuko wa bei gani umezuiwa, sukari toka 1,500_2,900, cement 14,000_19,000, bati bando 220,000_270,000, nondo 14,000_22,000 etc acheni mapambio yenubajeti hii ni ya wananchi wote wa tabaka la chini, kati na juu, wakulima na wafanyakazi, wajasiriamali na wafanya biashara wakubwa sote tunanufaika kwa namna moja au nyingine, hata mshara ulio nao unatosheleza mahitaji yako kwa sababu mfumuko wa bei umedhibitiwa sana. kwa kweli serikali ya awamu hii ya 5 inafanya kazi inayo onekana.
natamani sana katiba ibadilishwe Rais Magufuli aongezewe Muda zaidi maaana siamini bada yake kama tutapata mtu wa aina yake labda baada ya miongo kadhaa.
Unadhani hawa mapimbi kula kulala yanajua bei ya nondo. Achana naoNenda akakutawale wewe na familia yako, mfumuko wa bei gani umezuiwa, sukari toka 1,500_2,900, cement 14,000_19,000, bati bando 220,000_270,000, nondo 14,000_22,000 etc acheni mapambio yenu
Nyongeza ya nini wakati bado nchi inajenga uchumi kama mmeweza kuvumilia miaka 5 vumilieni na 5 mingine CCM oyeeAwamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
Mkuu katika hawa wafanyakazi waliopuuzwa na kunyimwa nyongeza ya mshahara kwa miaka yote hiyo na polisi wamo ?Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita....