Bajeti kubwa migao midogo Kwa sekta/wizara muhimu kwa maendeleo ya nchi

1987SANAWA

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
418
Reaction score
526
Habari za mapumziko!
Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu kwenye nchi kama Ardhi, kilimo, Mifugo, uvuvi zina hali mbaya kifedha kutokana na kupelekewa bajeti ndogo hivyo zinashindwa kutekeleza majukumu yao ya msingi pamoja na kuongeza Pato la taifa, kwasasa sekta ambazo hazizalishi ndio kipaumbele Cha nchi, pesa nyingi zinaelekezwa kwenye safari za viongozi ambazo kimsingi hazina tija kwenye nchi zaidi ya viongozi kujinufaisha, kwa wahusika fanyieni kazi hili
 
Nchi hii si ya wananchi
 
Back
Top Bottom