johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo Jo,unatakakusema kuwa kura haramu ni halali au una maana Gani,Na je ikiwa hivyo kilichopogiwa kura kitakuwa halali au haramu?Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura...
Acha dharau mjumbe,hawawezi na hawana uwezo huo na SII tabia ya binadamu.Sipati picha furaha watakayokuwa wana-chadema pale hao wabunge wakifukuzwa. Bila shaka hawa wakina mama wamewapanda wanaume wa chadema vyakutosha.
Tangu lini Chadema iliwahi kupitisha bajeti ya serikali, na walivyokuwa wanatoka nje ya bunge je bunge lilihairishwa?Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura
Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Wanaume wanapambana na wanawake kufa kupona.
Sipati picha furaha watakayokuwa wana-chadema pale hao wabunge wakifukuzwa. Bila shaka hawa wakina mama wamewapanda wanaume wa chadema vyakutosha.
Wewe unadhani kwanini Ndugai, Mbowe na Mashinji walibariki uwepo wa Halima Mdee na wenzake 18 bungeni?Tangu lini Chadema iliwahi kupitisha bajeti ya serikali, na walivyokuwa wanatoka nje ya bunge je bunge lilihairishwa?
Yani katika Wahehe wajinga wa kwanza ni Yericko Nyerere wewe unafuatia.
Tundu Lisu alipata 13% ya kura za UraisKwani upinzani lazima wawepo chadema? Tuna vyama vyingi vya upinzani nadhani Cuf, ACT wangewakilisha tu inatosha
Unatakaje mkuuWanaume wanapambana na wanawake kufa kupona.
Basi hakuna sababu ya nyinyi kutapatapa hivi.Walikupanda wewe. Chadema iliwafukuza Tena kihalali , mahakamani wamekimbilia wamekula za uso.
Hao ni wabunge halali hadi pale Spika Tulia ataka vyotangaza vinginevyoKwahiyo Jo,unatakakusema kuwa kura haramu ni halali au una maana Gani,Na je ikiwa hivyo kilichopogiwa kura kitakuwa halali au haramu?
Wale 19 si wabunge wa upinzani kwani walifukizwa uanachama siku nyingi, endapo wataruhusiwa kupiga kura huo utakuwa ni muendelezo wa utapeli unaofanywa na CCM miaka yote.Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura
Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!