Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wanaume wanapambana na wanawake kufa kupona.
Kwako ni wanawake kwakuwa umelelewa kwenye mfumo dume. Kwa wengine ni wabunge na hakuna anayejali jinsia yao .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wanapambana na wanawake kufa kupona.
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura
Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kumbe ndio maana Covid 19 hawawezi kuondolewa kabla ya kura hiyo kupigwa vinginevyo mchakato wa kupitisha bajeti utakwama!. Umenifungua macho Mkuu!Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura
Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Waendelee kuvunja katiba na sheria kisa budget?Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Bajeti yetu ni tegemezi kwa WafadhiliWaendelee kuvunja katiba na sheria kisa budget?
Muvinyo haupandi,19 SII 61 na pia SII 19.
Wafadhili wanabariki kuvunjwa katiba na sheria?Bajeti yetu ni tegemezi kwa Wafadhili
Hata ruzuku ya Chadema inategemea Bajeti ya serikaliWafadhili wanabariki kuvunjwa katiba na sheria?
CHADEMA haipokei ruzukuHata ruzuku ya Chadema inategemea Bajeti ya serikali
Una uhakika lakini?CHADEMA haipokei ruzuku
Onyesha ushahidiUna uhakika lakini?
Tangu lini Chadema iliwahi kupitisha bajeti ya serikali, na walivyokuwa wanatoka nje ya bunge je bunge lilihairishwa?
Yani katika Wahehe wajinga wa kwanza ni Yericko Nyerere wewe unafuatia.
Hao ni wabunge halali hadi pale Spika Tulia ataka vyotangaza vinginevyo
Hebu wale mnaopenda kutumia vichwa vyenu kufikiri mshirikiane na mimi kufikiri: Tuchukue kwa mfano; kiongozi mkuu wa dini moja yenye waumini wengi nchini anapata madaraka hayo kwa kuwaua wote waliokuwa wanapinga yeye kuwa Kiongozi mkuu wa dini husika. Kisha baada ya kufanikiwa kuwa Kiongozi analetewa majina 9 ya ya wasaidizi wake yenye mashtaka na ushahidi kuwa wameteuliwa kuwa wasaidizi kwa kuwahonga wateuzi wao! Huyu Kiongozi mkuu atapata ujasiri wapi wa kuwafukuza hawa waliohonga kuja kumsaidia kueneza dini ya huyo kiongozi muuwaji!? Yale maelezo ya "La kuvunda halina ubani" si ndiyo haya? Kwa nini mnapoteza muda wenu na wetu kwenye uozo huu?Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura
Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kasoro ndiyo zinakufanya ushindwe, shame on youMaombi ya kuwashtaki chadema ndo yanakasoro sio kwamba wameshindwa kesii....hii nchi mbona tunakalia umbea tu bila kuumiza kichwa kwa kufatilia hii kesi ndogo hivi?
Kuna nyakati unakuwaga na mitazamo iliyojaa busara, hekima kama mwenye jina lako. AmenInaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura
Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kwa sasa anaumwa, ila covid 19 wakiishaongozwa kukata rufaa, atapona.Pascal Njaa yeye anasemaje?