Tetesi: Bajeti kuu ya Serikali haiwezi kupitishwa bila Wabunge wa Upinzani kuwemo. Tutegemee tamko baada ya kura

Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura

Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
OK. They will eventually quit the "mjengo" with heavy liabilities to meet.
 
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura

Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Huo ujinga ulikuwa unafanywa kila mwaka na Chadomo kwa kutoka bungeni na miaka yote haijawahi zuia bajeti kupita.
 
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura

Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
kwa hiyo jamaa alivyokuwa anaiba kura alisahau hata kubakiza wa dawa !!
 
Uchafu huu uliomo bungeni uliyosababishwa na uchafuzi wa 2020 ukiasisiwa na kusimamiwa na jiwe unalidhalilisha taifa.
aliyechafua hali ya hewa katoka nduki katuachia kizazaa hiki.
 
hakuna bajeti ishawahi kukwama Bungeni tangu uhuru, wanachofanya huwa ni formalities tu.
Ok. Nikajua hili sakata la kina mdee na wenzie lita vuruga mipango
 
Back
Top Bottom