Tetesi: Bajeti kuu ya Serikali haiwezi kupitishwa bila Wabunge wa Upinzani kuwemo. Tutegemee tamko baada ya kura

OK. They will eventually quit the "mjengo" with heavy liabilities to meet.
 
Huo ujinga ulikuwa unafanywa kila mwaka na Chadomo kwa kutoka bungeni na miaka yote haijawahi zuia bajeti kupita.
 
kwa hiyo jamaa alivyokuwa anaiba kura alisahau hata kubakiza wa dawa !!
 
Uchafu huu uliomo bungeni uliyosababishwa na uchafuzi wa 2020 ukiasisiwa na kusimamiwa na jiwe unalidhalilisha taifa.
aliyechafua hali ya hewa katoka nduki katuachia kizazaa hiki.
 
Hivi washapiga kura ipitishwe.?
 
hakuna bajeti ishawahi kukwama Bungeni tangu uhuru, wanachofanya huwa ni formalities tu.
Ok. Nikajua hili sakata la kina mdee na wenzie lita vuruga mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…