chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo ya kishenzi kama Rwanda na Uganda.
Najiuliza tu, bajeti hizi zinatoa tafsiri gani? Wizara ya ulinzi wasungeweza kuachia trilioni moja tukasogeza SGR au tukajenga kilometa 1000 za barabara ya lami, kila kilometa kwa bilioni?
Naambiwa nbarabara ya kasi ya Dar Moro pia inahitaji ka trilioni tu inakamilika,lakini inapelekwa PPP. Si hii trilioni moja wangeiachia ikasogeza, na ndaninya miaka miwili barabara kwisha?
Au wangeachia bilioni 500 vijana wakaajiriwa.
Just trying to think aloud