Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

hao wanajeshi wa kuuwa na kutesa raia wanaopaswa kuwalinda? hata maana ya jeshi hawajui na wala nidhamu hawana watamtisha nani ukiondoa wananchi? Ruto nato ally? au US trained rwanda ? negro pliiz …
Ukiwa chadema sio lazima uwe unalalamika
 
Dunia iko katika error ya vita na uvamizi Kwa sasa , muelekeo wa kidunia ni vita na ulinzi wa rasilimali, hivo ni muhimu sana kuboresha jeshi liwe la kisasa na vifaa vita vya kisasa, maana huezi kujua adui atatokea upande upi
 
Ukiwa chadema sio lazima uwe unalalamika

achana na mambo ya chadema, ulishawahi kuona au kusikia wapi dunia hii jeshi linapiga na kutesa raia wake ambao linapaswa kuwalinda? ni vita gani watashinda kama hata hawajui maana ya jeshi na wako kwa ajili gani?
 
Hivi wewe ndio shule ya msingi uliishiaga darasa na pili na nusu? Maana kama naanza kukukumbuka
 
Si tuwekeze kama tsh bil 300 kwenye diplomasia ili tuepuke migogoro ili tri 1.9 ziende kwenye maendeleo. jeshi wabaki na 1.1 tril inawatosha wakati wa amani,

vinginevyo kagame vs tshkedi anasumbua au kule mpakani na msumbiji Jimbo la Cabo delgado Kuna shida?

Lakini makamanda siku hizi siyo waadilifu kama enzi za Nyerere
Nikikumbu mambo ya meremeta nakosa imani
 
Magari ya kukojoa pilipili na yale ya kumwaga upupu barrier breakers vifurushi vya mabomu ya machozi aaghhh samahani wapi Mwashambwa aje atoe ufafanuzi uchwara kwamba ununuzi wa magari ya washawasha ni matayarisho ya vita ya 3 ya dunia au ni tukio la 2025
Kwa hiyo huu mwaka wa uchaguzi Yale manunuzi wameamua
kuyapitisha wizara ya ulinzi badala ya mambo ya ndani ili tusishtuke?
 
Logic iko hapa, wizara ya ulinzi ndio hutumiwa kirahisi na watawala kufichia upigaji, inatumika kuombea bajeti ya pesa zisizokuwa na maelezo kwa kigezo kuwa ni siri za jeshi.
 
I thought kwa wakati huu matishio ya kiusalama si mengi, hasa yaliyo dhahiri, tungewekeza katika masuala ya kiuchumi
We sijui unaishi dunia ipi, juzi alikufa rais wq Iran, nchi inayoaminika kijeshi. Hujui yanayoendelea Ukrain, Israel, Sudan. Nchi za magharibi Mali, Chad, Niger, Nigeria kila mara ni Boko Haram, Kenya kuna Al-Shaabab, Msumbiji kuna magaidi pale Gabo Delgado, Congo DRC wanakufa kila siku hiyo amani iko wapi. Tulia ufanye mambo yako mambo ya ulinzi waachie wenyewe.
 
Ulinzi wa nchi ni jukumu la wote, siwaachii
 
Back
Top Bottom