Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
Hawa wazee aliowaita Kilimani naona wengi wanasinzia tuu,hawamwelewi kabisa. watu nao makini sura zao zinaonyesha hawa pay attention na anayozungumza. Huu ni upotevu wa muda na fedha bure.
Hawa wazee aliowaita Kilimani naona wengi wanasinzia tuu,hawamwelewi kabisa. watu nao makini sura zao zinaonyesha hawa pay attention na anayozungumza. Huu ni upotevu wa muda na fedha bure.
Hapa zinashuka nondo nene za kiuchumi, ni mafigure na mafigure ya mabilioni kwa mabilioni. Bila mchumi kulevel down kwenye undestanding ya mtu wa kawaida, wengine mnaanza ku-preempt criticism huku hutuba inaendelea, this is unfair. Tumsikilize, wachumi wamchambue ndipo tufikie suluhisho, hakuna jipya au pumba zipi mchele upi, tuendelee kusikiliza,
Mimi japo si mchumi, nadhani hii hotuma makes serious sense.
Wewe sio Mchumi halafu unaconclude ya kuwa his speech makes a lot of sense. This is totally contrary to what you have asserted before that it is only wachumi who have the merits to dissect JK's speech. My take is please stop drinking JK's cool aid. It seems you are so interested with Kikwete style rather than content, and if that is truly the case then shame on you.
RA mwenyewe kalala fofo