Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
mafunzo ya Jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria yatarudi
For what? matumizi mabaya ya kodi zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mafunzo ya Jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria yatarudi
Mie nimeshangaa jana Rais anasema ili kusaidia Utalii Tanzania serikali ina drop gharama kubwa ya Visa .Huu ni upuuzi hivi kwa ajili yake anadhani kwamba utalii wa Tanzania ni ghali kwa ajili ya Visa ? Hivi anakumbuka mktaba wetu na Romania kwamba they free entrance bila Visa lakini huoni mtu Romania kuja hata ku volunteer achilia mbali kutalii ? Hivi wachumi na wasaidizi wameshindwa kujua kwamba hotels za mbugani na park fees na Crater fee ni kubwa sana na zinapelekea kila kitu ghali na kuua kasi ya watalii kuja hapa ?

Yani ukitaka kujua tofauti ya nchi tajiri na masikini angalia tu bajeti zao. Marekani wana tumia $8billion kwa mwezi kwenye kitu cha kijinga kama vita na Iraq wakati sisi bajeti yetu ni Tsh3.2 trillioni kwa mwaka. Pamoja na utajiri wao wote husikii wenzetu wakiwa na skendo kubwa za ufisadi seriklini na hata ziki tokea wahusika hushugulikiwa mapema na kulipishwa.Tanzania kweli tuna safari ndefu ya kujipatia maendeleo.
Asante mkuu kikahe. Niko live from Dom.
Mkuu hii umeitoa wapi? Maana mimi nafahamu bajeti yetu ni tril 9.5 kwa mwaka!...wakati sisi bajeti yetu ni Tsh3.2 trillioni kwa mwaka....
kutumia Sh43 bilioni kuboresha Kampuni ya Reli Tanzania kwa kuwa si mali ya Kampuni ya Rites ya India... Haya maneno kasema JK au amesemewa?kama sija kosea, nakumbuka JK ndiye alieharakisha mchakato mzima wa kubinafsisha shirika letu la reli... since then amekuwa akitoa fedha za kuendesha hilo shirika kama vile halijabinafsishwa!!! NGONJERA NYINGI ZITACHEZWA KABLA YA UCHAGUZI MKUU!! lakini wajue kuwa tumejiandaa vyakutosha na makombeo zetu this tym...
wakati tikisiko la uchumi limetokea Raisi Obama alitangaza mpango wake wa kutenga mabilioni ya dolla kunusuru uchumi wa marekani, japo alikutana na changamoto kutoka kwa wanadiplomasia na wachumi kuhusu huo mpango wake....Kikwete nae katangaza 1.7 trillioni kunusuru uchumi, hivi mpango huu kauandaa kichumi zaidi akiwa na matumaini ya kushinda au kafuata ya obama na sera zake? kama jibu ni ndiyo basi obama akianguka nasi tumeanguka akisimama nasi tumesimama...Mambo ya cold war. wacha tuone.ila kama kaumiza kichwa na kuona mpango wake ni suluhisho la uchumi basi tumuombee kwa kwa mungu afanikiwe.