urithiwetu
Senior Member
- Mar 5, 2009
- 103
- 3
Du! mtuhumiwa Peter Noni in da TIB haus! Mtamtaka!
Maumivu ya kichwa huanza polepole...
Maumivu ya kichwa huanza polepole...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maswali yafuatayo tu:
a. Serikali ina mpango gani wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima (wasteful spending)
b. Serikali ina mpango gani wa kuziba mianya yote ya upotevu wa fedha za umma kama ilivyoanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
c. Serikali ina mpango gani wa kuchochea ulaji wa ndani (domestic consumption)?
d. Kwenye mashirika ya binafsi ambayo serikali inataka kuysaidia serikali ina mpango gani wa kuchukua hisa kwenye makampuni hayo kama nchi zilizoendelea vimefanya badala y akutoa tu fedha za walipa kodi?
Another EPA in a very vivid form.It's poor farmers who have lost everything and not WACHUUZI.The wachuuzi wanachofanya ni kununua mazao kwa bei ambayo watapata faida bila kujali mkulima ataumia vipi.kama bei katika soko la dunia imeshuka na wao wanashusha bei ya kununulia.Kuwawezesha tena wachuuzi ambao hawakupata hasara ni lazima tujiulize wanapewa fedha kwa ajili gani!!!!!!!!!!
Hivi mnajua kuwa hata kupon za pembejeo zilikuwa zinagawanywa kwa undugu.MASATU(KAMBARAGE) WASIRA,mtoto wa waziri STEVEN WASIRA aliitwa kutoka masomoni marekani ili apewe kupon aweze kusambaza mbolea.
Ndio hao wanaokuwa refunded....
DAMN
''The end of every wicked and oppressing goverment,is of shamefull and agony''

"Tutatoa udhamini wa kuahirisha mikopo ya wale walioathirika na kiasi cha udhamini ni Sh 45 bilioni hivyo benki zitatakiwa zisidai riba kwa miaka miwili na kutoa mitaji ya biashara kwa riba nafuu,"alisema Kikwete.Haya maneno kasema JK au amesemewa?kama sija kosea, nakumbuka JK ndiye alieharakisha mchakato mzima wa kubinafsisha shirika letu la reli... since then amekuwa akitoa fedha za kuendesha hilo shirika kama vile halijabinafsishwa!!! NGONJERA NYINGI ZITACHEZWA KABLA YA UCHAGUZI MKUU!! lakini wajue kuwa tumejiandaa vyakutosha na makombeo zetu this tym........kutumia Sh43 bilioni kuboresha Kampuni ya Reli Tanzania kwa kuwa si mali ya Kampuni ya Rites ya India...