Kwani Serikali inaposema inanunua ndege hizo ndege ni kwa ajili ya Wananchi kupanda tu bila kulipia?
Muhimbili wanauza dawa maana na wao wananunua MSD..na MSD mapato yanaenda serikalini.Kila mwaka budget ya dawa hupitishwa. Kila dawa huuzwa kwa wagonjwa na usipoangalia hospitali hata muhimbili bill ya dawa utabambikizwa.
Pesa ya dawa hutolewa kwa mujibu wa budget bado kila dawa inalipiwa tena na wagonjwa.
Huoni kuwa dawa hizi zinanunuliwa mara 2 ndugu?
Bado mfano wako wa ndege huuoni unapo sambaratikia?
Muhimbili wanauza dawa maana na wao wananunua MSD..na MSD mapato yanaenda serikalini.
Wapi dawa zinauzwa mara mbili hapo?
Muda mwingine ni kutafiti kwanza kabla ya kuweka mada, sera ya Tanzania ni kuchangia matibabu hivyo basi serikali inachangia na mwananchi anachangia, bei za matibabu kwenye hospitali za serikali sio gharama halisi bali zinaruzuku ndani yake. Kwahiyo usione unanunua dawa mia moja ukasema hiyo ndo thamani yake ni kama tulivyokuwa tu nalipa ada shs 20,000 sekondari enzi hizo haikuwa gharama halisi ya elimuKama wagonjwa wanalipa dawa hospitalini 100% na faida juu, bajeti ya dawa ni ya nini ndugu?
Fungua macho. Fyongo kama hiyo Iko wizara ya elimu pia:
Serikali haipo kwa maslahi yetu bali kufanikisha upigaji wao
Tungali na safari ndefu.
Muda mwingine ni kutafiti kwanza kabla ya kuweka mada, sera ya Tanzania ni kuchangia matibabu hivyo basi serikali inachangia na mwananchi anachangia, bei za matibabu kwenye hospitali za serikali sio gharama halisi bali zinaruzuku ndani yake. Kwahiyo usione unanunua dawa mia moja ukasema hiyo ndo thamani yake ni kama tulivyokuwa tu nalipa ada shs 20,000 sekondari enzi hizo haikuwa gharama halisi ya elimu