Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..

Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...
Mkuu on the spot.Landing fees zikoje?KIA ikipanuliwa na kuwa kubwa zaidi na iwekwe mazingira ya kuzivutia mashirika ya ndege basi utalii uta boom sana.
 
Noma sana lkn ndio hali halisi....
wakenya uchumi wa viwanda upo kitambo sana
 
si ndio hizo hizo zinajenga mareli na mabwawa ya umeme!!!a

au mwaka jana tulichuku kenya??
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
Kuna mambo mawili yanatusumbua

Moja tunaogopa mkopo

Pili tunaogopa kuibiwa
Ili kutoka hapo lazima tutatue haya matatizo
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.

Ni kipi mmeshindwa kufanya kwakuwa cdm wanapinga? Hapo ndio uwezo wenu umeishia maana bado mna mitazamo ya karne iliyopita. Kenya wanatengeneza mifumo imara, na sio hapa ya kusujudia viongozi wenye mitazamo ya kijima.
 
Watu wanajenga fensi nyumba ya Mtumishi 1 kwa 500m/- mtaendelea wapi?. Baneni matumizi Fedha ziende kwenye maendelea ya walio wengi. Tuna chuma, Gesi, mafuta, Dhahabu, mbuga, maji nk serikali iwekeze hapo iachane na vikodi vidogo2 kwa wananchi wachovu.

Kwenye akili wawekwe sehemu wavumbue vitu, Masomo ya ufundi 80% vitendo na 20% theo vifundishwe. Walisoma sayansi na kudeliver ktk Kazi zao walipwe vizuri nk. Bila hivo tutakalia "ukitaka kula lazima nawe uliwe"
 
Hapo zaidi ya nusu tunategemea mabeberu na iliyobaki ni wanyonge kulipia laini za simu kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…