Bajeti kubwa sio necessarily utendaji mkubwa / mzuri inaweza ikawa ni ufujaji... kipimo kizuri ni kuangalia bajeti zimefanya nini ?
Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..
Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...
Tungekuwa wajanja tungeifanya KIA kuwa the biggest Transit Airport in Africa...
Ingesaidia mno watalii wanakuja wanatua kwanza KIA halafu ndo wanaamua kwenda Kenya au Dar au Zanzibar...
Hili kufanyika linahitaji brains sio blah blah
Kama asingekuwa Mwl. Julius Nyerere na sera mbovu baada ya vita dhidi ya Uganda sisi tulipaswa kuwa nchi yenye uchumi mkubwa ukanda huu wa Afrika mashariki.
Ujinga mtupu unakusumbua.Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.
Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.
Imeniumiza Roho sana hii.
Hapa ndipo uwezo wetu unapoishia, shida sio CCM, trust me. Shida ni uwezo mdogo wa kufikiri, ubinafsi na kukosa uzalendo kwa mtanzania.Wakenya kuwa mbele yetu isiwe sababu na wala tusiwachukie kwasababu hiyo, tujiulize shida yetu inaanzia wapi, binafsi naamini shida yetu imeanzia kwa hii kitu inaitwa CCM na vyote vilivyomo ndani yake.
Tukikuuliza utueleze hayo uliyoandika hapa huna lolote ujualo, bali unaimba kama kasuku tu basi!Tanzania, bado tunasumbuliwa na fikira za kijamaa (ujamaa wa Nyerere) ambazo haziko mbali sana na ujima! Inahitajika mkakati kabambe wa kufutilia mbali fikira za kijima ambapo ni pamoja na kusikia watu wanajivunia kuitwa 'wanyonge', kujisifu kuwa ni 'matajiri' huku unafungia wenye mitaji na teknolojia milango, nk
Unajifanya Mjuaji. Porojo nyingi.Ujinga mtupu unakusumbua.
Haya tueleze madeni wanayopashwa kulipa hao Kenya kwa mwaka huo wa pesa ni kiasi gani?
Tueleze pia ni kiasi gani wanatakiwa kukopa kujazia kiasi ambacho hawawezi kukikusanya.
Umetazama bajeti za kila mwaka ukaona kiasi cha utekelezaji wa hiyo bajeti, na ukajuwa kwamba kiasi hicho cha pesa ni kweli ndicho kitakachotumika?
Ni watu kama wewe ndio mnaopapatikia vitu bila kujuwa maana yake ni nini.
Na bado hujaweka fungu litakaloenda kwa "tenderpreneurs na Cartels", au yote haya wewe huyajui? Unayojuwa ni kusoma manamba makubwa tu na kushangaa basi?
Bure kabisa.
Kwa sababu uchumi wa Kenya ni mkubwa, karibia mara mbili ya uchumi wa Tanzania.Jadiri hoja iliyowekwa mezani, (kwanini budget ya Kenya ni karibu mara mbili ya budget ya Tanzania?)...
Wewe ni kilaza mkubwa mno. Bajeti ya Magufuli ilitekelezwa kwa kiasi kikubwaUkweli mchungu Jiwe alichezea uchumi miaka 5 bila budget kuongezeka wala kuwa na graph inayopanda
Sasahivi tungekuwa kwenye trion 50 ila utoto wa kuchezea walipa kodi na kuwafirisi ndio zao lake hili.
Kwa usimamizi na mkakati mzuri tz inaweza kukusanya hata zaidi ya 40TBajeti kubwa haiimaanishi kwamba ndio inaleta maendeleo. Kenya wanabandika manamba makubwa kwa sababu kwa sehemu kubwa wanatumia Expenditure-Driven budget yaani sehemu kubwa wanapanga bajeti kwa ajili ya matumizi zaidi kuliko maendeleo na kulipa madeni pia. Mpaka ninapoandika hapa Kenya inakopa zaidi ya nchi zote ukimjulisha kwa pamoja hapa Afrika mashariki ili kujazilishia bajeti yao.
Binafsi naamini tupaswa kuwa na bajeti isiyozidi trilioni 30 maana uwezo wa ukusanyaji wetu wa mapato ni trilioni 25 tu. Tuwe na bajeti inayotokana na mapato zaidi (Revenue-Driven budget) halafu tufanye miradi michache ila ipate uwekezaji mkubwa na serikali ipunguze gharama za uendeshaji ikiwemo kuyaondoa mashirika ya umma yanayojishughulisha na biashara kama ATCL, wao wajikite ktk kutoa huduma tu.
Wakenya kiujumla wana akili ndogo sana kichwani. Kama asingekuwa Mwl. Julius Nyerere na sera mbovu baada ya vita dhidi ya Uganda sisi tulipaswa kuwa nchi yenye uchumi mkubwa ukanda huu wa Afrika mashariki. Edwin Mtei alijitoa nafasi yake kama waziri wa fedha baada ya Mwl kukataa sera ambazo Rais Ali Mwinyi na Rais Benjamini Mkapa walikuja kuzitekeleza baadae na nchi ikasimama kidogo kuliko tulivyozidi kupotea.
Mikopo zaidi wakati ya Tanzania na Uganda ni mapato ya ndani kwa asilimia 70Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.
Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.
Imeniumiza Roho sana hii.
Wewe usiwe muongo kuna wizara nyingne zilikuwa zinapata fedha yake iliyoombwa asilimia 5% kati ya miaWewe ni kilaza mkubwa mno. Bajeti ya Magufuli ilitekelezwa kwa kiasi kikubwa
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
We jamaa, umeongea ukweli tupu!!True..!
Ukiona watu wanakomalia udaku na mambo mepesi...wanang'angana na kupigania Diamond atolewe BET badala ya kujadili mambo ya msingi, hapo ujue tuna safari ndefu sana kama taifa
Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..
Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...