Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

Hiyo bajeti ndogo ya tanzania itafanya mambo yenye thamani kwa kubwa kwa umma kuliko ya kenya. Kenya kiasi kikubwa kitaishia mifukoni kwa watu kwa rushwa.
Sisi waTz ndio hatuna wala rushwa? hapa tunajadili bajeti bado hata hatujajadili bajeti ya mwaka wa fedha uliopita ilitekelezwa kwa asilimia ngapi, ni aibu kupigiana makofi kujadili bajeti ya kwenye makaratasi. Hivi ni lini tutaacha blah blah nchi hii.

Mwigulu mbwembwe zote zile kuingia bungeni na ving'ora ni kwenda kuwasilisha bajeti ya kwenye karatasi ambayo hatujui utekelezaji wake utafikiwa kwa asilimia ngapi!
 
Tatizo si ukubwa je imejumuisha nini? Je ina reflect makusanyo yao? Utekelezaji was miradi yao je??
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
 
Wewe una hela ngapi sema
 
Ni hiyo mistari miwili tu ya mwisho ndiyo ninayoweza kukuona wewe kama una akili zxa kutosha kichwani; hayo mengine yote na mada iliyowekwa mbele ni upuuzi mtupu.
 
Acha hadithi za maccm wenzio,vitu kwenye ground vinaonekana wametuzidi mbali sana
 
Matatizo yote ya nchi yetu chanzo chake kikubwa ni maccm. Hilo halina siri wala ubishi.
Nimekuelewa sana chukua ccm wapeleke Kenya kwa muda wa miaka 5 majibu utayapata
 
Wakenya hawapendi ujinga ujinga, Hawawezi kumaliza hata miaka miwili kabla hawajakatwa mapanga.
Nimekuelewa sana chukua ccm wapeleke Kenya kwa muda wa miaka 5 majibu utayapata
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Yani wewe na ng'ombe ni sawa tu!
 
Wakenya kuwa mbele yetu isiwe sababu na wala tusiwachukie kwasababu hiyo, tujiulize shida yetu inaanzia wapi, binafsi naamini shida yetu imeanzia kwa hii kitu inaitwa CCM na vyote vilivyomo ndani yake.

Kikulacho
 
Mimi ni Mtanzania ila napenda kuisifia Kenya kwani wasomi wake hawapigi"dili" kama Tz.
 
Kodi inakusanywa kwenye magari mabovu
 
Huna viwanda vya kutosha utaendeleaje?
 
Mkuu kama ikiwezekana labda tujue ni mapato kiasigani kenya wanakusanya ukiliganisha na kwetu, pia tulinganiishe bajeti za wizara muhimu kama kilimo na viwanda
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
Mipango siyo matumizi. Embu kaangalie bajeti hiyo inatekelezwa kwa asilimia ngapi!!!
 
Asingekua magufuli tingekua bado tuna tr 23
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.

Sera ya chadema ni ubepari wenye kuamini uwekezaji wa mitaji,technogia, ubunifu wa sayansi na technologia na ukuzwaji wa sekta binafsi kama ingini ya uchumi , ccm wanaamini nini?
 
Kabisa.. ila watu wanaleta siasa..sana.
 
Magufuli ndio kaipandisha kutoma tr 20s kwenda 30s tr
Ukweli mchungu Jiwe alichezea uchumi miaka 5 bila budget kuongezeka wala kuwa na graph inayopanda

Sasahivi tungekuwa kwenye trion 50 ila utoto wa kuchezea walipa kodi na kuwafirisi ndio zao lake hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…