Bajeti ya Land Rover festival Arusha inatoka kwenye fungu gani la bajeti?

Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa Ni Festivals?
bajeti ya wapi? kinakuuma nini? wewe huoni tukio hili linaleta mafanikio makubwa mkoa wa arusha? huoni jinsi mkoa utakavyoingiza mapato na biashara kuimarika? ama watu kwa wivu,ujinga mtupu unakusumbua na wivu
 
Punguza hasira, hayo magari yametoroka kiwandani ama ni machifu wa hizo Land Rover 109? Tueleze vizuri ili tuwe pamoja.
 
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa Ni Festivals?
Mzee Mbowe
 
bajeti ya wapi? kinakuuma nini? wewe huoni tukio hili linaleta mafanikio makubwa mkoa wa arusha? huoni jinsi mkoa utakavyoingiza mapato na biashara kuimarika? ama watu kwa wivu,ujinga mtupu unakusumbua na wivu
Upo sahihi kabisa mkuu,
Kingine kwa mtazamo wangu naona kua hilo tukio pia litakua ni kama tangazo la kibiashara kwa kampuni ya Land Rover, sina uhakika kama kampuni hiyo imeshirikishwa ili nayo iweke udhamini wake kwenye tukio hilo na kuchangia gharama, kama Land Rover wameshirikishwa litakua ni jambo jema pia.
 
hilo sijui
 
1. Tunatoa maoni kuboresha ikiwa lengo ni kuinua uchumi wa Arusha. Liingizwe kwenye mipango/bajeti ya mkoa ili liwe endelevu hata akija kiongozi mwingine.

2. Kwanini Land Rover? Na Sio Magari yote yenye sifa?
 
Ukisha changanya na brand zingine za Magari inakua haina maana coz hapa lengo ni mkusanyiko wa Gari brand moja tu,

Haya mambo hua yanafanyika sana tu kwenye nchi za nje,
Mfano,Guinness world record inashikiliwa na mkusanyiko wa Land Rover 908 ila zilizoqualify zilikua 640 na ilifanyika Northampton,

Wajerumani pia walisha fanya na kukawa na mkusanyika wa Land Rover 632,

Sio lazima iwe Land Rover ila organizer wanaweza kuamua brand yeyote tu ya magari ili kutengeneza huo mkusanyiko,mfano mnaweza kuamua tunataka mkusanyiko wa wenye magari ya Jeep tu au Vits tu.
 
Miaka ya 80,90 ilifanyika landrover camel tour tz gari zilikuwa zinatoka kila pande ya dunia walipita mpaka tz
Nahs hawa wanajaribu kufanya jambo kama hilo

Ova
 
Ndio,tena hua kuna sponsor wanaweka matangazo yao kwenye hayo magari,kama hao Camel na Marlboro kabla matangazo ya Sigara kupigwa marufuku.
 
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji.

Kipaumbele vyetu Kwa sasa ni Festivals?
Eti tukavunje Guiness World Record. Ufala huu kwa maslahi ya nani?
 
ukitaka kuwa-win watu wa Arusha tembea nao kwa bit moja hapa Makonda anaongoza 3-0 dhidi ya wapinzani wa CCM Arusha
 
Back
Top Bottom