Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Kila baada ya miezi mitatu, sita unaweza kuwa na festival tofauti. Huo ni utamaduni mzuri.Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji.
Kipaumbele vyetu Kwa sasa ni Festivals?
Mfano festival ya vitabu, wasanii wapya wa comedy, music television, kilimo, biashara, ajira, watangazaji, maonyesho mbalimbali ni festivals kama sabasaba, nanenane.
Unaweka kuwa na festival ya kutangaza jiji. Nafikiri gharama karibu zote zitakuwa hao wadau washiriki wamechangia, sio kitu kibaya.
Mfano Arusha inahitaji festivals nyingine nyingi tu za kitalii. Inakutanisha wadau tofauti.