M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wacha wengeGharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa Ni Festivals?
bajeti ya wapi? kinakuuma nini? wewe huoni tukio hili linaleta mafanikio makubwa mkoa wa arusha? huoni jinsi mkoa utakavyoingiza mapato na biashara kuimarika? ama watu kwa wivu,ujinga mtupu unakusumbua na wivuGharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa Ni Festivals?
Punguza hasira, hayo magari yametoroka kiwandani ama ni machifu wa hizo Land Rover 109? Tueleze vizuri ili tuwe pamoja.Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa Ni Festivals?
Mzee MboweGharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa Ni Festivals?
Lema,Sugu,mzee mbowe na wenje walifaulu?Ni upumbavu tu wa mbibavu aliyefeli shule akakwepa vyeo kwa uchawa na kuua na kutekwa watu
Upo sahihi kabisa mkuu,bajeti ya wapi? kinakuuma nini? wewe huoni tukio hili linaleta mafanikio makubwa mkoa wa arusha? huoni jinsi mkoa utakavyoingiza mapato na biashara kuimarika? ama watu kwa wivu,ujinga mtupu unakusumbua na wivu
hilo sijuiUpo sahihi kabisa mkuu,
Kingine kwa mtazamo wangu naona kua hilo tukio pia litakua ni kama tangazo la kibiashara kwa kampuni ya Land Rover, sina uhakika kama kampuni hiyo imeshirikishwa ili nayo iweke udhamini wake kwenye tukio hilo na kuchangia gharama, kama Land Rover wameshirikishwa litakua ni jambo jema pia.
1. Tunatoa maoni kuboresha ikiwa lengo ni kuinua uchumi wa Arusha. Liingizwe kwenye mipango/bajeti ya mkoa ili liwe endelevu hata akija kiongozi mwingine.Upo sahihi kabisa mkuu,
Kingine kwa mtazamo wangu naona kua hilo tukio pia litakua ni kama tangazo la kibiashara kwa kampuni ya Land Rover, sina uhakika kama kampuni hiyo imeshirikishwa ili nayo iweke udhamini wake kwenye tukio hilo na kuchangia gharama, kama Land Rover wameshirikishwa litakua ni jambo jema pia.
Ukisha changanya na brand zingine za Magari inakua haina maana coz hapa lengo ni mkusanyiko wa Gari brand moja tu,2. Kwanini Land Rover? Na Sio Magari yote yenye sifa?
Misambwanda festival lini nayoLema,Sugu,mzee mbowe na wenje walifaulu?
Miaka ya 80,90 ilifanyika landrover camel tour tz gari zilikuwa zinatoka kila pande ya dunia walipita mpaka tzUkisha changanya na brand zingine za Magari inakua haina maana coz hapa lengo ni mkusanyiko wa Gari brand moja tu,
Haya mambo hua yanafanyika sana tu kwenye nchi za nje,
Mfano,Guinness world record inashikiliwa na mkusanyiko wa Land Rover 908 ila zilizoqualify zilikua 640 na ilifanyika Northampton,
Wajerumani pia walisha fanya na kukawa na mkusanyika wa Land Rover 632,
Sio lazima iwe Land Rover ila organizer wanaweza kuamua brand yeyote tu ya magari ili kutengeneza huo mkusanyiko,mfano mnaweza kuamua tunataka mkusanyiko wa wenye magari ya Jeep tu au Vits tu.
Ndio,tena hua kuna sponsor wanaweka matangazo yao kwenye hayo magari,kama hao Camel na Marlboro kabla matangazo ya Sigara kupigwa marufuku.Miaka ya 80,90 ilifanyika landrover camel tour tz gari zilikuwa zinatoka kila pande ya dunia walipita mpaka tz
Nahs hawa wanajaribu kufanya jambo kama hilo
Ova
Point1. Tunatoa maoni kuboresha ikiwa lengo ni kuinua uchumi wa Arusha. Liingizwe kwenye mipango/bajeti ya mkoa ili liwe endelevu hata akija kiongozi mwingine.
2. Kwanini Land Rover? Na Sio Magari yote yenye sifa?
Eti tukavunje Guiness World Record. Ufala huu kwa maslahi ya nani?Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo Ka kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji.
Kipaumbele vyetu Kwa sasa ni Festivals?