Bajeti ya mchakato wa katiba mpya iko wapi?

Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha?

Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.

Sema unasubiri Kwa hamu, sio wanainchi wanasubiri
 
Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha?

Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
Watu hawashibi Katiba Mpya tambua Hilo,Kenya Kuna Katiba Mpya ila watu Wana njaa.

Ghana Kuna Katiba Mpya ila maisha magumu nk nk
 
Katiba ya nini...?watu tunataka ajira sio makaratasi..by the way hii iliyopo inafaa sana
Umeamua kuonesha ulivyo takataka hadharani,katiba mpya inazuiaje wewe kupata ajira?
 
Watu hawashibi Katiba Mpya tambua Hilo,Kenya Kuna Katiba Mpya ila watu Wana njaa.

Ghana Kuna Katiba Mpya ila maisha magumu nk nk
Usiwe mjinga fanya kazi ushibe serikali haishibishi mtu bali serikali dhalimu hugandamiza na kunyonya wananchi wake kwa kodi na matozo ya ajabu. Pia serikali dhalimu huweka vizuizini na kuwafunga jela wananchi wake wenye maono na nia njema ya kuinua hali ya maisha ya wananchi wenzao.
 
Hapo ndio umeongea nini kama sio upuuzi
 
Kama wakipatikana watu waungwana Katiba inaweza kupatikana lakini KIKWAZO kikubwa cha Katiba Mpya ni hawa wazandiki ambao kazi kubwa waliyonayo kuvuruga lolote linalopangwa ili kutetea ajira Yao ya kudumu ya upinzani.

Upinzani ni ajira KUBWA Sana ktk nchi hii ndiyo maana hawapendi kutoa suluhisho la kudumu katika Jambo lolote.

Nchi zote Duniani zinabadili watawala Kwa matarajio ya kupata ustawi wa Jamii zao lakini hali zinabakia afadhali ya jana. Ref.Kenya,Zambia,Congo DRC,Malawi nk.
 
Back
Top Bottom