Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya
TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban
asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi
bilioni 285.3.
Pia, Soma:
Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66 Bilioni kwa mwaka 2025/2026
Maelezo: Bajeti hii iliwasilishwa na Waziri Prof. Palamagamba Kabudi tarehe 7 Mei 2025. Vipaumbele ni pamoja na ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya michezo kwa maandalizi ya
CHAN 2025 na
AFCON 2027, ikijumuisha viwanja vya
Benjamin Mkapa,
Uhuru,
uwanja mpya Arusha (
TSh bil. 286), na
Dodoma (
TSh bil. 350), pamoja na viwanja vya mazoezi 10. Pia, zimetengwa fedha kwa kukuza sekta za habari, utamaduni na sanaa nchini.