Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana
Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏

On my point

Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs


Wazo langu Ni kwamba
Serikali kwanini isiwekeze katika kilimo ili hata Angalau kwa kununu Modern machine (Equipment I:e tractors & , Mbolea na nk. Ili wananchi wake wapate kula na kushiba .

Watu huku mjini wanakula mlo mmoja sababu bei ya unga + mchele hazikamatiki .

Sioni sababu ya kununua Ndege badala ya trectors za kulimia.

Jambo la mwisho hizo salaries zenu za kukufuru kwanini msizi -regulate hata Angalau mkawa mnapokea Million 5 tu kwa mwezi .

Ni Aibu kubwa kwa Taifa Kama Tanzania Ambalo wananchi wake most of them wanaishi chini ya $1 then tumlipe Mwanasiasa Mil 15 as take home salary this is not Good.


Nyie politicians kuweni na huruma , Fahamu yote mnayofanya ni ubatili mtupu .

That's All
Pia nyie vijana Amkeni acheni kukaa vijiweni mnazungumzia Simba na Yanga tu yaani hawa wanasiasa fake wanawablind msijitambue

Sasa mkikaa mnawapigia kura wakati mnakula Mlo mmoja kila siku Fahamu ya kuwa mnafanya ujinga.✍️

Haya_Land kutoka chuo kikuu cha Udsm kwa sasa.

Rip Mwai kibaki.
 
Kipaombele ni Royal tour na miundombinu hiko kilimo ni vipaombele vya familia nasio taifa".

Alisikika mlevi moja huko Dodoma akibembeleza uwaziri
 
Back
Top Bottom