Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
MWK Nimeanzisha thread ya kuomba msaada kutoka kwa viongozi wetu wa dini kwani TAIFA LA MUNGU LINAELEKEA KUANGAMIA!
Ni watu wasio na uwezo wa kufikiri ndio wawaweka matumaini yao kwa binadamu wenzao (viongozi wa dini). Mimi naamini watanzania wanaweza kufanya kazi zao bila kuongozwa au muingilio wowote wa viongozi wa dini.
Katika hili mkuu, endelea tu lakini mimi sina imani na viongozi wa dini ila nina imani kwa MUNGU. Viongozi wa dini ni kama binadamu yeyote na wengi wao ni mafisadi tu.
Ni muhimu sana kwa watanzania kuwaendea viongozi wao wa dini kuomba msaada wa kiroho na kisaikolojia na kimawazo kama ambavyo wamekuwa wakiwaendea na kuwaeleza matatizo yao ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababishwa na MAFISADI... na maombi yaanzishwe TAIFA ZIMA BILA KUJALI DINI!
HUU NI WAKATI WA MUNGU ALIOULETA KWETU.
Sina maana ya viongozi wa dini waingilie uongozi..La hasha.
Nawakumbishia majukumu yao ambayo mitume wote kuanzia Yesu Kristo pamoja na Muhammad walisimamia...HAKI KWA MNYONGE!
Yesu aliwapinga mafisadi kwa nguvu zote...Kuanzia mafarisayo na watoza kodi mafisadi!
We unafikiri waumini hawalalamiki kuhusu ugumu wa maisha na ufisadi huko misikitini na makanisani?
CCM BYE BYE..Wapinzani bado hawajaonyesha nia ya kweli...Sasa hapa ni MUNGU TU KWA KUPITIA WATU WAKE!
WATANZANIA MUWASIKILIZE VIONGOZI WENU WA KIROHO...HAO MUNGU ATAWATUMIA KAMA WAKIJA PAMOJA BILA KUJALI UISLAM,UHINDU,UKRISTO NK.
__________________
Watu waende kwa MUNGU na sio viongozi wa dini
Vingozi wa dini watawapa miongozo ya mapambanuo.
Hatutaki tena habari za kina hawa na wale wanaotuchanganya.
MWK Ipersonally believe kuwa huu ni WAKATI WA MUNGU NA TULIZALIWA KWA SABABU MAALUM!
Hao viongozi wa dini ndio watakupoteza kabisaaaaaaa! Watu waende kwa MUNGU moja kwa moja na sio kupitia kwa upande wa tatu. Na kama wewe kuna kitu unaweza kufanya sasa hivi mkuu basi huu ni wakati wako mwafaka wa kuonesha cheche zako na kuachana na kuongea tu bila vitendo kama wanasiasa wetu
Usitake nianze mambo ya EPA hapa..Bank M nk
Unataka kusema kile ninachokifahamu tayari au una habari mpya? Kama una habari mpya mkuu wewe sema tu ilimradi inahusiana na kile tunachoongelea sasa hivi kwenye hii thread.
MWK Ushahidi wa serikali ya CCM kuchota pesa za wanyonge za EPA...UPO!Na ndio maana hakuna wa kumkamata mwenzake.
Haya sasa basi..Kama wewe husemi ccm bai bai kama hii thread navyosema...Then anzisha ya kwako yeyye kusema ccm ni safi na ipigiwe kura 2010.
Una hakika kuwa sikujua kuhusu huu ushahidi hadi ulivyoniambia leo hii?
Unadhani nikitaka ccm ambayo nimepigana nayo muda mwingi wa maisha yangu hapa JF ipigiwe kura mwaka 2010 ni lazima nianzishe thread ya kufanya hivyo? Je unafikiri tofauti yako na mimi kwenye hii thread ni ipi (kama ipo)?
AWAKAMATE WAMILIKI WOTE WA BANK M...Kina Sanjay Kumar,
K Bhasker Narayan, Noble Azania Investments ltd,Napster Group Incorp. Inayomilikiwa na ndugu za Ballali pamoja na wanasiasa wengine.
Sunjay Mehta na Vimal Mehta ambao ni kaka na kisheria tayari hiyo Bank M ilitakiwa iangaliwe kwani ni MAFisadi!
Allied & Equity Gen.Zen Advertising, BV holdings ltd,V&B Assoc ltd, New Malallaln mining co ltd, Navy cutt tobbaco ltd, Bora Apts, Noble motors ltd, Noble Azania grp
Huyu unayemsema kuwa awakamate wamiliki wa Bank M ni nani?
Na ndio maana ccm BAI BAI Hakuna MAFISADI HUMO MWENYEKITI KESHASEMA...ZIDUMU FIKRA ZAKE SAHIHI UNAZOZIKUMBATIA!
HII NCHI INAMILIKIWA NA MAKAMPUNI?
MMETAFSIRI UBEPARI VIBAYA KWENYE ARDHI YETU YA MUNGU!
MMEJICHAGULIA NJIA YA UOVU.
MKAE KANDO.
WE WANT OUR COUNTRY BACK...AND WE WANT IT NOW!
narudia Tena Hili Swali Ili Ulijibu Vizuri, Ni Nani Unayetaka Awakamate Uliowataja?
Nani Ajikamate?
kwa Ulichoandika Hapa, Nitakuwa Sawa Nikisema Kuwa Umekwepa Kujibu Hili Swali?
Nani Ajikamate?
kINA MWEMA WALISHAWEKA WAZI...
Sasa wewe MWK kule kwenye thread ya upinzani wapewe nafasi umekiri kuwa CCM haiwezi kushinda kwa kishindo kwasababu ya EPA..And then unageuka unampigia kifua mama Killango wa CCM anayefuata amri ya mwenyekiti wao aliyesema wazi kuwa ccm hakuna mafisadi na lowassa ni poa tu!
Tena kuna rumrours atagombea urahisi.
Sasa uko kundi gani?
Kikwete Kama Mwenyekiti Wa Ccm Iliyochota Pesa Za EPA Ni Fisadi Asiyeweza Kujikamata...happy Now?
Kumbe wewe unasubiri Kikwete akamate mafisadi?
Utasubiria hili mkuu hadi uchoke.... soma signature yangu uone movement yangu niliyoanzisha. Sioni kuwa hata nikisubiria miaka kumi kama kuna yeyote yule atakamatwa.